M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 359 Jan 23, 2013 #2 Mwache ale ni wakati wake.
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Jan 24, 2013 Thread starter #3 Aya bana, tutaongea nae baada ya 2015
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 Jan 24, 2013 #4 kwa kupenda sifa tu!
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,232 Jan 24, 2013 #5 2015 kitaeleweka tu
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Jan 24, 2013 #6 Mtalii wa ulaya, atasimulia nini..!??
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,007 Jan 24, 2013 #7 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Picha hii siyo ya safari hii, bali ni ya wakati ule alipoenda CANADA akalakiwa kiihivyo. Vasco wetu
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Picha hii siyo ya safari hii, bali ni ya wakati ule alipoenda CANADA akalakiwa kiihivyo. Vasco wetu
The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,175 Jan 24, 2013 #8 Hakika ukiruka stage katika maisha yako lazima uje uikamilishe,anakumbukia utoto
KirilOriginal JF-Expert Member Joined Feb 13, 2012 Posts 2,161 Reaction score 1,147 Jan 24, 2013 #9 Akishuka baada ya kupata matembezi ya kuona mandhari anatoa tip (bakhshishi) ya £2000, ila ukimwuliza hapa kwetu kama aliwahi kuchangia hata angalau kisima cha maji atakenua tu!
Akishuka baada ya kupata matembezi ya kuona mandhari anatoa tip (bakhshishi) ya £2000, ila ukimwuliza hapa kwetu kama aliwahi kuchangia hata angalau kisima cha maji atakenua tu!