The story teller
New Member
- Nov 23, 2020
- 1
- 2
Msaada wenu wakuu, naulizia ni wapi naweza kupata elimu hapa nchi kwetu kwa kina zaidi juu ya matatizo ya betri za sola kama vile betri kuvimba, betri kuishiwa nguvu na masuala mengine.
Lengo langu niweze kupata elimu ya kuyatatua haya matatizo hata kama endapo betri itakuwa imekufa basi niweze kuirudisha katika hali yake ya mwanzoni.
Lengo langu niweze kupata elimu ya kuyatatua haya matatizo hata kama endapo betri itakuwa imekufa basi niweze kuirudisha katika hali yake ya mwanzoni.