gb kumi ni ukubwa wa nafasi unayopewa lakini pia kuna limit ya file moja unaloruhusiwa kueka. hosting wengi wanaruhusu mb2 hadi mb5.
punguza ukubwa wa themes hio how iwe mb10? ume optimize picha hizo?
kama still unataka kui upload inabidi utumie ftp pamoja na client wa ftp kuieka manual hio theme kwenye directory ya theme ambapo mafile ya wordpress yapo