iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Mama Kilango alikuwa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga wenye Wilaya kadhaa,zenye wakuu wa Wilaya,makatibu tawala wa Wilaya,wakurugenzi wa halmashauri. Hawa kimsingi ndio waliopeleka taarifa kwa Anne Kilango kwamba wilaya zao hazina watumishi hewa na yeye akaziwasilisha ngazi za juu.
- Je, waliompotosha walichukuliwa hatua?
Kwanini waliompotosha na baadae wanasema wana wafanyakazi hewa?
Je, wakuu wa mikoa wanaoendelea na uhakiki na wanakuta bado kuna wafanyakazi hewa si nao walipotoshwa?
Hawa wanaopotosha wanachululiwa hatua gani?, mbona wengine wamebaki na nafasi zao za URAS?
Kwanini ilichukuliwa haraka kwa mama Anna Kilango?
Mifumo ya serikali iliyompotosha mbona iko pale pale na watu wale wale wamekaa kusubiri kumpotosha Mkuu wa mkoa mwingine?
Hili zoezi la uhakiki linafuata kanuni za kiutumishi kujua nani hewa nani sio hewa?