Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,502
- 6,403
Wakuu wa mikoa na wilaya bado wanazipenda na wanategemea kazi zao hizo kuendesha maisha yao na familia zao
Kiuhalisia hakuna RC au DC yeyote atakaekubali maisha yake yachezewe kirahisi kwa kushindwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha kupiga kura kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, waishiwe kutumbuliwa hii ni never na haiwezi kutokea Tanzania
Hapa mheshimiwa rais amechochea kupokea takwimu na idadi za uongo kutoka kila wilaya na mikoa ili tu kumuaminisha rais kwamba idadi ya waliojitikeza ni kubwa na zoezi limefanikiwa, watanzania wamehamasika.
Tujiandae kupokea data zilizotengenezwa tu, idadi ya wapiga kura ndio itakuwa kituko
Kwani watasema watu wengi walijitokeza kujiandikisha lakini wachache wamejitokeza kupiga kura
Swali
Tutaamini vipi kwamba zoezi limefanikiwa iwapo tutaletewa idadi kubwa ya watanzania waliohamasika kujiandikisha?
Hapa naiona janjajanja ya hawa wateule wa rais