Mwisho wao ni 2015, tunawatoa kwenye orodha through Katiba mpya
Hawa ni makada wa CCM ngazi ya wilaya. Kwangu diwani ni bora kuliko hawa jamaa wanakula kodi zetu hakuna wanalofanya wilaya zinazidi kuwa masikini hakuna miundombinu wala nishati ya umeme wakisikia mkuu anakuja ndo wanaweka changarawe kwenye barabara atakako pitia.