DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,084
- 45,727
Upeo wako ni mdogo sana kufirikiria kitu kama hicho
Nyama zetu za Ulimi au?
Upeo wako ni mdogo sana kufirikiria kitu kama hicho
Hii sio njia mpya, ipo kitambo sema hawakutaka pitamara zote tatizo ndiyo huleta njia mpya ama mbadala..
Waliyoyajadili sisi hatujayafungia tunaendelea kuchapa kazi. Hao wali lockdown sasa wanajadili namna ya kurudi duniani.Rais Magufuli vipi hajashiriki au Tanzania haihusiki? Kwa maana nyingine Rais wa Tanzania haungi mkono juhudi za nchi washirika
Kuna sehemu kwny huo mkutano umeona wamemtaja JPM?
Kwani kiingereza ni nn.Ni kipimo Cha usomi au?Ni nchi ngapi hazitumii hicho kiingereza na Bado Mambo's yanakwenda tu.Kwa Ni lazima aongee kiingereza?Huo Ni utumwa kung'ang'ania lugha za mabeberuKiingereza ni tatizo kwa Mkuu wa CCM
KASHA FELI KABISAAA , kaamua kurudi nyumbani mapemaaaaaa kabla ya october 2020Tuna rais anae tenga nchi yetu na dunia.. Hajielewi.
Kumbe umezungumzia irrelevant contents.,sawa.Hajatajwa, na sababu ya yeye kutoshiriki hakuna. Ni kama vile hakualikwa.
Mimi nimezungumzia content chache ya kilichozungumzwa kwenye hicho kikao.
Kumbe umezungumzia irrelevant contents.,sawa.
,lakini ujue hali ya corona haisubiri mtu kutengenez maabara kisha ndio iendelee kusambaa,Hawa masikini waache wajadili ujinga wao, sisi sio size yao.. soon wataachia watu wao mitaani na watafungua borders na kila kitu kitaendelea.. Tanzania is giant of all combined, we are just watching them wakijipendekeza kwa Mzungu...watakuja hapa kama Kenyata alivyopanda ndege haraka kumfuata JK Magogoni baada ya kuminywa kidogo tu, huyo PK anajua kilichomkuta misitu ya DRC na baadaye kile kibano akaombewa msamaha na nanihii...tunawacheki tu kwenye radar zetu..
Hua mnajilinganisha kipumbavu kabisa.hamuoni mantiki ya hivyo vikao?endeleeni kujificha chato Mambo yanaendelea kudodaBurundi siwaoni pia ,mbona unashoboka na Magufuli?,mpaka akupige miti ndio utapata akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka clip hapa magu anakichapa kidhungu😂😂😂😂😂au una maanisha ile press ya Kyle Uganda ?Yaaani michango yote humu ni ya kitoto sana:: "eti kwa sababu hajui kiingereza" mbona sehemu nyingi tumesikia anaongea kiingereza vizuri tu! Yaaani criticism kwa magu zimeisha hadi tumeanza mashambulizi ya kitoto kabisa