Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) wafanya kikao kujadili Corona. Rais Magufuli na Nkurunziza hawakushiriki

Hili Jambo Hadi leo siamini na sikubaliani kabisa kwamba, Eti Raisi wetu alishindwa kushiriki kikao hili mhimu Kwa kuogopa ung'eng'e!!!

Ninachoweza kuamini, Ni pale kila kipindi cha kila Raisi kupendekeza ajenda za kujadiliwa

Huenda labda agenda kutoka Kwa Raisi wetu waliipinga hao maraisi wengine na wakaipuuza na ndiyo iliyojibu Kwa Tanzania na kufanyika Rejeo Kwa Baadhi ya mataifa mengi, hata Kwa hao walioipinga,

Ni agenda ya Maombi, Yaani Mungu Kwanza halafu sayansi!

Nadhani baada Tu ya kuipinga akawaachia kikao Chao, na sasa wanaendelea kutapatapa baada ya kuipuuza agenda mhimu, na Raisi wetu akawaaachia kikao Chao

Na kama sivyo? Je kikao hicho kilichosuswa na Raisi, kimerahisisha nini ktk nchi hizo? Kama ni agenda ya Corona, Bado wanaendelea na mtihani mgumu, lakini kwetu angalau asubuhi imejitokeza
 
Back
Top Bottom