DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,905
- 45,333
Inaonekana umekuwa bila kumjua babaako, kwa mila zetu ustaarabu nikitu cha msingi.
Aisee Bora uendelee kujifukiza kama mzee wetu wa chimbo
Inaonekana umekuwa bila kumjua babaako, kwa mila zetu ustaarabu nikitu cha msingi.
Because he is pitter pattering like a befuddled shamba boy in the middle of a pandemic.
Najibu Maswali haya kuhusu Corona kwenye video hii kwa kupitia BBC Swahili:
1. Je kuna chanjo ya Corona?
2. Je kwanini majaribio ya chanjo ya Corona yanafanyika Afrika?
3. Je kushiriki kwenye majaribio ya chanjo ya Corona ni salama?
Hahahahaha....mkuu hatari sana huyu kiumbe kutoka sayari ya mars..Ngeli oyeeeee
Tatizo lilianzia hapa. If you love corruption
Umesoma uzi wote lakini!!?Burundi siwaoni pia ,mbona unashoboka na Magufuli?,mpaka akupige miti ndio utapata akili
Wamelegeza masharti baada ya kuthibiti "infection rate".Anzeni kuandaa hata mgombea wenu wa uraisi, bado miezi miwili na nusu(wiki 10) kampeni zianze. Hii kiki ya Corona imeshabuma. Uingereza wameanza taratibu kurudi maofisini na kufanya mazoezi mitaani na kutembeleana leo.
Ligi za Ujerumani zinaanza wiki hii jumamosi, Italy tarehe 25. USA majimbo mengi yanaondoa lockdown next week.
Hizo nchi za EAC zinazoiga kila kitu zitaachia raia soon waingie mtaani. Mambo yanarudi normal before mid June. Tafuteni kiki nyingine.
Nchi zenye wapigaji hili janga la Corona ni dili,vikao vitakaliwa kila mara,watu watafungiwa ndani na maskini wengi watakufa na wale wenye ulemavu,wanawake na watoto watabakwa katika nchi hizi,haki za binadamu zitakiukwa kwa kisingizio cha corona,kujipendekeza kwa mabeberu kupata misaada ambayo itatuika kwa manufaa yao. Raisi Magufuli hawezi kushiriki kwenye uharamia huu,mbinu tunazotumia zinatufaa kwa mazingira ya Tanzania.Chukua tahadhari corona ni ugonjwa hatari
Wewe ni nani wa kumpangia rais wapi akae na wapi askae?But hiding in the bush will end the covid-19? Right
Anafanya nini huko Chato?
Kagame
coment yako ni ya kitoto sana,yupo aliyewahi kuulizwa vp mbona hatujakuona kwenye mazishi, naye akajibu kwani waliofika hawakutosha kumzika marehemu? na mlitaka nifike ili nifanye nini?Je, huo mkutano ni dawa ya Corona?
Njia za kujikinga na Corona zinaeleweka, sasa wao wamekaa kujadili nini kipya?
Hapo wamemwogopa JEMBE yeye huwa hapendi kupoteza muda kujadili masuala ambayo tayari yanaeleweka.
Huko Duniani wamekaa vikao wee lakini njia za kujikinga na Corona zinabaki ni zile zile.
Kweli aseeRas Simba a.k.a Sumbalawinyo apelekwe Chato (sio mtaa wa Mh.Kikwete Regent Estate) haraka Sana atuepushe na aibu hii
Na SADC wameanzisha COW yao sasa hivi chini ya Ramaphosa baada ya Chairman 'kurara mbere'.Hicho ni kikao cha harusi tu,
Hao wanatapa tapa Mbona walipoamua kufunga mipaka hawakutushirikisha?mambo yamekua magumu kwao ,wanakutana vichochoroni.
Kwa mujibu wa protocol za EAC,hicho ni kama kikao cha ujirani mwema tu hakina impact yoyote.
Hao vibaraka waliwahi eti kuanzisha CoW Coalition of the willing,wameishia wapi?
Tanzania ni kama Maji,watakuja tu,