Wakuu wa nchi Kenya, Tanzania na Uganda: Wanasemaje wakiongoza mapambano dhidi ya corona na kuwalinda watu na uchumi wa nchi

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Hebu tuweke clips kwenye uzi huu za marais wa Kenya, Tanzania na Uganda tuwaone jinsi wanavyowaandaa wananchi wao kupambana na maisha huku wakipigana vita ya kujilinda na corovid 19. Mimi naweka ya Magufuli, na wengine wekeni za marais wengine halafu tuwatathmini wanavyotimiza jukumu la kuongoza mapambano ya kiuchumi na kijamii katika kipindi hiki kigumu.
 

Attachments

  • 2400594_VID-20200515-WA0007.mp4
    888.5 KB
Katika kila clip ya rais itakayowekwa hapa tupime confidence, ujasiri, uwezo wa kupambana na hofu inayowakumba wananchi nk.
 
Back
Top Bottom