MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kuna mnyetishaji wangu amenitonya kua mwaka huu Mh Rais katka utezi wake wa Ma-RC na DC ataangalia tuu wale wenye msaada zaidi kwa Taifa na wanaojitolea kulish taifa kimaendeleo na wahatahangaika wenaohanaikia matumbo yao zaidi au maslahi ya chama.
Kwa maana hiyo wale ambao wanategemea nafasi hizo kama fadhila au Shukrani waendelee kusubiri na watasubiri sana.
Zaidi mtu wangu huyo wa karibu na kwa ofisi nyeti inayoratibu upatikani wa watakaofiti nafasi hizo ameninyetisha kua Mh Rais hataki blaa blaa za nyuma,anata matingatinga yatakayotii maagizo yake bila shuruti.
Huenda hizi nafasi zikajawa na wengi wenye nafasi kama maofisa katika vyomba vya ulinzi na usalama zaidi.
HAYA YALIKUA NI MAONI YA MDAU HUYO NA SIO TAARIFA KILI! SAIDI TUSUBIRI.