Wakuu wa Mikoa na mikakati ya hovyo

Wakuu wa Mikoa na mikakati ya hovyo

Nilimsikia mama kabaka akisema aliyeanza watetea watumishi kuhushu kikokotoo ni jenista nikasema bora shetani aje duniani ccm ni more than devil

Wanatufanya wajinga sana wala hatuna kumbukumbu
 
Tatizo siyo hao ma RC
Tatizo lipo kwa hao watumishi waliondamana vichwa vyao havina ubongo.
Wataendelea kunyanyasika mpaka mwisho wa Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo fununu za Wakuu wa Mikoa yote Tanzania bara (Tanganyika) kuwalazimisha watumishi wa umma kuandamana kuunga mkono kufutwa kwa kikokoto cha mifuko ya hifadhi ya jamii.

Najiuliza alikiyekileta hicho kikokoto ni nani ?, na kwasababu gani ?.

Hivi mbona tunawafanya watumishi wa umma wajinga
Z

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom