Usiowasikia ndio wachapa kazi!! Waswahili wanasema "DEBE TUPU HALIACHI KUTIKA" Hao wapiga kelele hawana kitu mfano ni huyo Hapi ametokea Kinondoni ambapo hakufanya kitu chochote cha maana miaka yote aliyokuwa DC halafu from nowhere anapandishwa cheo kuwa RC unategemea nini? Ndio maana anapiga kelele ili aonekane kuwa anafanya kazi kumuhadaa Jiwe!!