Ernest Mwanri au Aggrey Mwanri?Kwanini wakuu wa mikoa wanaosikika ni
1. Ally Hepi
2. Ernest Mwanri
3. Makonda
Wengine mbona hatuwasikii? Kwa mfano mkuu wa mkoa wa Tanga au Pwani. Kuna anae wajua?
Hata watu wa pale maili moja sidhani kama washawahi kumsikia Ndikiro.pwani.evalist ndikiro.tanga martine shigera