Wakuu wa mikoa maarufu.

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
9,450
16,941
Kwanini wakuu wa mikoa wanaosikika ni
1. Ally Hepi
2. A grey Mwanri
3. Makonda
Wengine mbona hatuwasikii? Kwa mfano mkuu wa mkoa wa Tanga au Pwani. Kuna anae wajua?
 
Usiowasikia ndio wachapa kazi!! Waswahili wanasema "DEBE TUPU HALIACHI KUTIKA" Hao wapiga kelele hawana kitu mfano ni huyo Hapi ametokea Kinondoni ambapo hakufanya kitu chochote cha maana miaka yote aliyokuwa DC halafu from nowhere anapandishwa cheo kuwa RC unategemea nini? Ndio maana anapiga kelele ili aonekane kuwa anafanya kazi kumuhadaa Jiwe!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom