Wakuu wa mabenki inafaa wafikishwe mahakamani kwa uhaini!

serikali haiwezi kutoa maelekezo kwa nmb, banki ina wenyewe. serikali ana hisa tu kama yule mwananchi aliyenunua dse. angalia safu ya uongozi. serikali kama mwanahisa inaweza kutoa pendekezo na likapingwa na majority, that's plc! endelea kuota!
Unajua kazi ya BOT?
 
Kitendo cha wakuu wa mabenki kujaribu kupotosha umma na kuutishia umma kuwa serikali imeongeza gharama katika kufanya mihamala ya fedha .

Mabenki na wazalendo wote walielewa vizuri kusudi la serikali kuchukua kodi kwenye makato ya ATM na yanayofanania vizuri sana lakini wakuu wa mabenki wamejiorganise na kuamua kupotosha umma kwa makusudi lengo lao ikiwa ni kuichafua serikali ya Magufuli...
Nikiwa kama mzalendo ninawiwa kuitaka serikali ichukue hatua kali sana dhidi ya hawa wakuu wa mabenki walioamua kupotosha au kuhujumu nchi.

Mpaka ninavyoowasilisha hoja hii hakuna benki yoyote iliyotuma ujumbe kwa wananchi kama walivyotuma jana juu ya ufafanuzi wa TRA.

Tangazo lililotolewa jana na mabenki haya lingeweza kumpindua Rais Magufuli kwa kuwa lilikuwa no Tangazo hatari na linalotengeneza ugomvi mkubwa wa wananchi dhidi ya serikali.

Kinachoniuma zaidi ni matangazo yaliyotoka kwenye mabenki ambayo ni taasisi za umma mfano NMB!!!!!

WAKUU HAWA WA MABENKI HASWA YALE YA UMMA ni lazima wawajibishwe ikiwa ni pamoja na kukamatwa na kuhojiwa juu ya malengo yao.
Borea lizaboni huwa ana akili kidogo ila huyu jingalao ni chenga...pumba vu... Akili zako kama za ukawa siku hizi
 
Wananchi wamekua wakikatwa service charge za benki na hapo hapo wakikatwa wanapotoa fedha kwenye ATM ...je makato haya ni justifiable???.

My take ni kwamba sio justifiable ....leo hii serikali inataka kuchukua kodi yake mabenki yanaleta figisu....hah a haa haa...
 
bro huelewi hata unachosema
 
Kitendo cha wakuu wa mabenki kujaribu kupotosha umma na kuutishia umma kuwa serikali imeongeza gharama katika kufanya mihamala ya fedha .

Mabenki na wazalendo wote walielewa vizuri kusudi la serikali kuchukua kodi kwenye makato ya ATM na yanayofanania vizuri sana lakini wakuu wa mabenki wamejiorganise na kuamua kupotosha umma kwa makusudi lengo lao ikiwa ni kuichafua serikali ya Magufuli...
Nikiwa kama mzalendo ninawiwa kuitaka serikali ichukue hatua kali sana dhidi ya hawa wakuu wa mabenki walioamua kupotosha au kuhujumu nchi.

Mpaka ninavyoowasilisha hoja hii hakuna benki yoyote iliyotuma ujumbe kwa wananchi kama walivyotuma jana juu ya ufafanuzi wa TRA.

Tangazo lililotolewa jana na mabenki haya lingeweza kumpindua Rais Magufuli kwa kuwa lilikuwa no Tangazo hatari na linalotengeneza ugomvi mkubwa wa wananchi dhidi ya serikali.

Kinachoniuma zaidi ni matangazo yaliyotoka kwenye mabenki ambayo ni taasisi za umma mfano NMB!!!!!

WAKUU HAWA WA MABENKI HASWA YALE YA UMMA ni lazima wawajibishwe ikiwa ni pamoja na kukamatwa na kuhojiwa juu ya malengo yao.
Unafikiri mabenk wanafanya kazi ya ukuwadi kama ww peleka chooni upuuzi huo
 
HIVI WAKUU WA MABENKI NI WATU GANI?, MAANA SIJAWAHI KUSIKIA MTU AKIITWA MKUU WA BENKI, MTOA HOJA INAPASWA AFAFANUE.
 
Wewe kama ni banker elewa kuwa kuna Serikali!!

Mleta uzi nakushauri ukasome maana ya consumption tax (ambayo VAT ni moja wapo)..hasa usome nani anayelipa consumption tax. Halafu uje upime hili bandiko lako kama lina mashiko.
 
Katika ile 1000 tuliyokuwa tunawalipa mabenki walisahau kwa makusudu kuikata sasa inabidi ikatwe
 
Kitendo cha wakuu wa mabenki kujaribu kupotosha umma na kuutishia umma kuwa serikali imeongeza gharama katika kufanya mihamala ya fedha ni kitendo cha UHAINI

Mabenki na wazalendo wote walielewa vizuri kusudi la serikali kuchukua kodi kwenye makato ya ATM na yanayofanania vizuri sana lakini wakuu wa mabenki wamejiorganise na kuamua kupotosha umma kwa makusudi lengo lao ikiwa ni kuichafua serikali ya Magufuli...
Nikiwa kama mzalendo ninawiwa kuitaka serikali ichukue hatua kali sana dhidi ya hawa wakuu wa mabenki walioamua kupotosha au kuhujumu nchi.

Mpaka ninavyoowasilisha hoja hii hakuna benki yoyote iliyotuma ujumbe kwa wananchi kama walivyotuma jana juu ya ufafanuzi wa TRA.

Tangazo lililotolewa jana na mabenki haya lingeweza kumpindua Rais Magufuli kwa kuwa lilikuwa no Tangazo hatari na linalotengeneza ugomvi mkubwa wa wananchi dhidi ya serikali.

Kinachoniuma zaidi ni matangazo yaliyotoka kwenye mabenki ambayo ni taasisi za umma mfano NMB!!!!!

WAKUU HAWA WA MABENKI HASWA YALE YA UMMA ni lazima wawajibishwe ikiwa ni pamoja na kukamatwa na kuhojiwa juu ya malengo yao.
Mkuu hivi ushawahi fanya biashara wewe... Unavyoset price hua unaangalia vitu gani? kama revenue yako ikipungua kwa 18% si ita asili operations zako kwaio wanahaki ya kuongeza charges ili waweze kufidia hio decrease, na vat kwanza ni kodi ya mlaji sio mfanyabiashara kwaio mtailipa tuu hamna namna nyingine
 
NmB ni benki au taasisi ya umma...serikali ina mandate ya kusema kuwa mishahara yote ipitie hazina na kuwanyang'anya mwanya wa kuneemeka na mihamala ya kifedha...
Angalia ownership structure yake.. Serikali ina 30%, kwaio ni inafanya biashara kama bank nyingine na inabidi mwsho wa siku iwalipe hao financer wengine kwaio sasa usifikiri inaoperate kama ofisi ya katibu kata, halafu ni bora mambo mengine uwe unakaa kimya ona unavyo aibika
 
Katika ile 1000 tuliyokuwa tunawalipa mabenki walisahau kwa makusudu kuikata sasa inabidi ikatwe

Huu ndio upotoshaji hasa sasa. Utasemaje wamesahau wakati sheria ya VAT haikutoza VAT kwenye ada za benki? Na hilo hata waziri akikiri kwenye hotuba yake ya bajeti. Ulitaka wakusanye tu kodi ambayo sheria haijawaelekeza kukusanya? Mwaka huu ndio VAT kwenye ada za benki imekua introduced. Sasa VAT ni consumption tax...na mlipaji wa consumption tax siku zote ni mlaji (consumer). Serikali ndio imebugi..kama walitaka kodi hii ilipwe na mabenki na kampuni za simu..wangeileta hii kodi kwa jina lingine lakini sio VAT. Ukishasema VAT hapo moja kwa moja umemnyuka consumer.
 
Back
Top Bottom