Wakuu wa Chit Chat,nipokeeni Mrembo wa Kinyakyusa!!

Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi nikiwa guest.
Sasa nimeamua kujumuika nanyi.
MARITAL STATUS:Single.
Hodiiiiii...nishikeni mkono mnioneshe uchochoro wa kupita.

Karibu sana shosti wa Ukwenhe.
Karibu humu jamvini.
Kabla ya yote napenda nikutambulishe mume wangu mpendwa Ndg Chimbuvu akiwa na wasaidizi wake tedo na Chilli bila kuwasahau manoah na kbm.
Halafu kaa mbali na Baba V,
Dark City,
Nicas Mtei,
watu8,
Judgement, Asprin, figganigga, Mtambuzi,
St. Paka Mweusi.
Najua hao wote watakwambia hawana wake,lakini usihadahike wote wameoa na wana mijukuu nyumbani kwao huko vijijini Sitimbi.
Hasa hapa pa Dark City na Asprin pachezee mbali maana wake zao ni zaidi ya Umagga.
Kuna huyu Kongosho mjukuu wa Babu DC,huyu anang'ata na kupuliza.

Pia kuna chama cha MSUTO .COM.
Iwapo utahitaji kumsuta member yeyote awe wa kiume au wa kike,usisite kututaarifu,tuko kamili.
Napenda nikutajie wanachama wa MSUTO .COM,
Wenyeviti mie mwenyewe Madame B na Kungwi wangu gfsonwin bila kumsahau Pacha wangu Zinduna

Mwenyekiti Msaidizi sweetlady akiumwa huyu yupo vukani au Smile na Preta.

Makatibu
mwaJ na Ciello.

Watunza hazina
Kipipi FirstLady1 na [MENTION=80512]lara1.

Washauri
FP, King'asti na cacico.

Usishangae chama hli halina wanaume,wanaume wapo japo nao wanapumulia Gesi I.C.U,
Kuna Baba V akiwa na Kaizer bila kumsahau Judgement na mwenzake Filipo au na platozoom.

KARIBU CHITCHAT.
 
Last edited by a moderator:

Makatibu mwaJ na Ciello.

Watunza hazina
Kipipi FirstLady1 na [MENTION=80512]lara 1.

Washauri
@FP, King'asti na cacico.

Usishangae chama hli halina wanaume,wanaume wapo japo nao wanapumulia Gesi I.C.U,
Kuna Baba V akiwa na Kaizer bila kumsahau Judgement na mwenzake Filipo au na platozoom.

KARIBU CHITCHAT.

Ahsante shosti Madame B.
Nimekaribia.
Tayari kuna mtu mmoja wa kumsuta nimempata.
Nitawataarifu soon.
 
Last edited by a moderator:
Hujambo mrembo karibu kwenye familia, ila mbona uko fasta kutaja marital status?
 
Karibu sana shosti wa Ukwenhe.
Karibu humu jamvini.
Kabla ya yote napenda nikutambulishe mume wangu mpendwa Ndg Chtimbuvu akiwa na wasaidizi wake tedo na Chilli bila kuwasahau manoah na kbm.
Halafu kaa mbali na Baba V,
Dark City,
Nicas Mtei,
watu8,
Judgement, Asprin, figganigga, Mtambuzi,
St. Paka Mweusi.
Najua hao wote watakwambia hawana wake,lakini usihadahike wote wameoa na wana mijukuu nyumbani kwao huko vijijini Sitimbi.
Hasa hapa pa Dark City na Asprin pachezee mbali maana wake zao ni zaidi ya Umagga.
Kuna huyu Kongosho mjukuu wa Babu DC,huyu anang'ata na kupuliza.

Pia kuna chama cha MSUTO .COM.
Iwapo utahitaji kumsuta member yeyote awe wa kiume au wa kike,usisite kututaarifu,tuko kamili.
Napenda nikutajie wanachama wa MSUTO .COM,
Wenyeviti mie mwenyewe Madame B na Kungwi wangu gfsonwin bila kumsahau Pacha wangu Zinduna

Mwenyekiti Msaidizi sweetlady akiumwa huyu yupo vukani au Smile na Preta.

Makatibu
mwaJ na Ciello.

Watunza hazina
Kipipi FirstLady1 na [MENTION=80512]lara1.

Washauri
FP, King'asti na cacico.

Usishangae chama hli halina wanaume,wanaume wapo japo nao wanapumulia Gesi I.C.U,
Kuna Baba V akiwa na Kaizer bila kumsahau Judgement na mwenzake Filipo au na platozoom.

KARIBU CHITCHAT.
Wewe mwanamke una umbea sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom