Wakuu wa Chit Chat,nipokeeni Mrembo wa Kinyakyusa!!

Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi nikiwa guest.
Sasa nimeamua kujumuika nanyi.
MARITAL STATUS:Single.
Hodiiiiii...nishikeni mkono mnioneshe uchochoro wa kupita.

ughonile nkamu, twa kumyinu...loli bhakafu bhosa...
 
Karibu sana Marry! Naomba nikuvishe pete kama hutojali.

Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi nikiwa guest.
Sasa nimeamua kujumuika nanyi.
MARITAL STATUS:Single.
Hodiiiiii...nishikeni mkono mnioneshe uchochoro wa kupita.
 
Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi nikiwa guest.
Sasa nimeamua kujumuika nanyi.
MARITAL STATUS:Single.
Hodiiiiii...nishikeni mkono mnioneshe uchochoro wa kupita.
Nakupenda kimahaba
 
Babu si nilisikia unaumwa wewe? Sasa utafanyaje ukaguzi?
Naomba upumzike!

Mi nakuangalia tu.

Hebu mwambie huyu mgeni mwenyeji asogee pande hii nimkague.

Nataka nione tofauti yake na lara 1
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom