Wakuu wa Adsense hii imekaaje?

Naona zimepita wiki mbili naona kimya ndo nauliza wenye uzoefu na hii inakaa wiki mbili kweli??? Nais hujaelewa nilichouliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeandika tu kuwa zimepita wiki mbili hujapata notification yoyote... Any way labda hukutimiza matwaka yao... Ila kuchelewa kawaida ila ukiona too much basi mchezo umeisha
 
Inaweza ikachukua zaidi ya huo muda. Unatumia blogspot?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…