MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,722
- 21,959
Habari mpya leo tarehe 28/03/2020 zinasema US maambukizi yamefikia 104,708 kutoka elfu 83 ya jana . Zaidi la ongezeko la watu elfu 20.
Tuwaombee wakina Nyani Ngabu USA baby
Na Da Mange!Siku sio nyingi Nyani Ngabu anarudi Tz[emoji23][emoji23]
Na Da Mange!
idadi hiyo ilete kwenye vijiji vyetu haalfu fokiria hao watu laki moja wameondoka kuns vijiji vinaweza kikosa watu kw idadi hiyo. watu lki sio wchacheSema wako wengi sana .. hao laki 1 sio wengi sana kwao
kama namuona Donald trump hapakaliki ofisini mwekundu km nyanya sahivi...iseeeHabari mpya leo tarehe 28/03/2020 zinasema US maambukizi yamefikia 104,708 kutoka elfu 83 ya jana . Zaidi la ongezeko la watu elfu 20.
Tuwaombee wakina Nyani Ngabu USA baby
ndo muda wa kuzamia huu kwa gia ya volunteer ...tupeane mbinu jamani..Habari mpya leo tarehe 28/03/2020 zinasema US maambukizi yamefikia 104,708 kutoka elfu 83 ya jana . Zaidi la ongezeko la watu elfu 20.
Tuwaombee wakina Nyani Ngabu USA baby
Unaenda kufa wewe kama kuku wa kiderindo muda wa kuzamia huu kwa gia ya volunteer ...tupeane mbinu jamani..
watanzania waliopo USA wana hali gani ?Habari mpya leo tarehe 28/03/2020 zinasema US maambukizi yamefikia 104,708 kutoka elfu 83 ya jana . Zaidi la ongezeko la watu elfu 20.
Tuwaombee wakina Nyani Ngabu USA baby
Siku sio nyingi Nyani Ngabu anarudi Tz[emoji23][emoji23]
watanzania waliopo USA wana hali gani ?
Ila madaktari wao, serikali yao, wansayansi wao, wanauchumi wao, raia wao..,, wanasema hawajawahi kuexpirience haya maradhi. They take it extremely serious than your comment!Flue ni ugonjwa wa kawaida huko kwao na kila mwaka hurekodi deaths elfu kumi na mbili na huwa tiba yake hupatikana kila baada ya miezi mitatu, ingawa watu wenye uwezo wa kuipata hiyo tiba ni asilimia hamsini tu ya waathirika.
Ubaya wa hii korona ni kuwa inamadhara makubwa sana kwa watu wenye hali maalum mfano umri, matatizo mengine ya kiafya. Huo ndio upekee wa korona, ila swala la mafua huko na madhara yake sio geni.