Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,357
- 108,493
Basi akae chini atulie kwa sasa, aachane na mahusiano kwa muda na akirudi kwenye mahusiano atafute mwanamke mwingine kabisa na sio huyo dada...
Kaka watu8 kwa hali ilivyo wale wanandoa ni ngumu sana kurudiana sababu kipindi cha nyuma tulishwahi kumsihi John arudiane na mkewe lakini tulipata upinzani mkubwa sana. Kitu kingine mkewe John hawaelewani na ndugu wa John sababu mke wa John aliwahi kumfungia mlango dada yake John siku hiyo alichelewa kurudi kutoka kazini kipindi hicho John akiwa amesafiri kikazi mikoani, ikapidi ampangie dada yake hotel kwa muda. Na wazazi wake John nao hawaposupportive katika kutafuta suruhu kila kitu kaachiwa John aamue mwenyewe. Kiufupi pande zote za wazaz hawajawahi hata kuitisha kikao kusuruhisha iyo ndoa.