Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
Wakuu,
Leo nimeamka zangu mishale ya saa kumi na mbili asubuhi nikapanda bodaboda kutoka bunju_b hadi mwenge kwa bro.
Kisha nikamwambia yule bodaboda tuelekee ubungo_msewe kwa dada flani, rafiki yangu,
Alinitumia ujumbe jana akisema,
"Really missing you @seneta_wa_mtwiz,
Pay me a visit please."
------
Baada ya hapo nikamwambia bodaboda twenzetu kimara_bucha nikamsabahi baba ching,
Tulipotoka hapo tukaenda tabata_sanene kwa yule binti ninayempigia misele.
Tukarudi tena bunju kupitia kawe_ukwamani,
Kisha tegeta_basiaya.
Kuanzia ile asubuhi
Hadi sasa saa tatu kasoro
Nd'o safari imeisha-
Sasa hapa nd'o nataka nitoe buku (1,000/=) niliyobakiwa nayo mfukoni ili
Nimpe huyu bodaboda.
Hivyo
Maombi yenu ni muhimu wakuu.