Wakuu sura bei maelewano

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
May 29, 2013
471
0
NIPO KATA KOROTAMBE, KIJIJI CHA BUNCHARI WILAYA YA TARIME MKOANI MARA, KWA MAWASILINO NICHECK PM ni sheeeeda a.k.a problem
 
Howt Lady

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
1,482
1,500
NIPO KATA KOROTAMBE, KIJIJI CHA BUNCHARI WILAYA YA TARIME MKOANI MARA, KWA MAWASILINO NICHECK PM ni sheeeeda a.k.a problem

He.....jaman mbona vibweka tena JF?
Biashara matangazo ama? Mbona ata kujitangaza kwenyewe hujui

Hahaha.......
 
bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,385
2,000
NIPO KATA KOROTAMBE, KIJIJI CHA BUNCHARI WILAYA YA TARIME MKOANI MARA, KWA MAWASILINO NICHECK PM ni sheeeeda a.k.a problem

Mimi nipo hapa Majita ukitoka huko tukutanie Bunda tule good time ingawa sehemu yenyewe utafikiri si wilayani utadhani ni kama vile makao makuu ya kijiji kumbe eti ni makao makuu ya wilaya
 
tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
535
195
jamaa atakuwa punga afu anataka wa kumtwanga ngoja atapata ila hii tabia ishafika hadi kwa akina mura
He.....jaman mbona vibweka tena JF?
Biashara matangazo ama? Mbona ata kujitangaza kwenyewe hujui

Hahaha.......
 
Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
May 29, 2013
471
0
ahaha maendeleo bunda yamechelewa sana umuhimu wa wasira hauonekani,nilishindwa kuanzisha safari leo sababu ya mvua nadhani kesho asubuhi ntaweka mabegi mgongoni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom