Wakuu sitaki ushauri , naitaji connection

Mechincal tenchician au Engineer niwatu wako sokoni sana tembelea mkuranga pale wiki moja viwandani uwezi kukosa kazi nenda kiwanda cha BBQ or Expert consultancy kipo kisemvule pia pita pepsi hutajuta sana mtembea bure sio kama mkaa bure
Sawa mkuu.
 
Mkuu pole sana Mungu akusaidie uvuke salama na mchogo uupate hapa!

Jamani wenye kazi tufanye kazi na tuzilinde na tumuombe Mungu azilinde unapomuona mtu hadi ana andika hivi hiki ni kipindi kigumu kwake anapitia hii isikie kwa mwenzio tuuโ€ฆ. Hii hali sio nzuri hii ni hali ya kukata tamaa!

Jamani mtaani pagumu hasa kama una akili timamu una malengo hakika unaweza kufikia hali zaidi ya huyuโ€ฆ.msichezee kazi huyu mtu ana wakilisha watu wengi wanaoteseka mtaani na wana taaluma zao โ€ฆ.Muda mwingine elimu haifanyi lolote unahitaji watu wakushike mkono..na wanakosekana kabisa i can feel this pain โ€ฆโ€ฆ

Jamani mwenye connection ampe mshikaji apate kwa kujishikiza!

Mungu akutangulie
 
Kwa maisha ya sasa kujiongeza lazima. Ukifocus na kaz tuuu upate kazzzzz tu.. Yani kazi tuuuu.... Umeumia!
Hao watu makazini wenyewe tu tunatafuta pa kukimbilia Yani sio poa! Bora yeye kuliko mm mana Nina age ya 25 now na Nina watoto wawili mapacha. Kazi mshahara lak 4 sio poa
 
27 bado kijana kabisa. Kwa namna yoyote ile usikate tamaa mtoa mada, bado unayo nafasi ya kufanya tena.
Hvi kuna ubaya mtu kuajiriwa akiwa na 25 years!?
Maan wengin ukiwatajia age hiyo wanakwambia bado sana ww pambana bdo chalii , hv kweli et Street difficult zinaleta utafutaji wa ages kweli?
 
Hvi kuna ubaya mtu kuajiriwa akiwa na 25 years!?
Maan wengin ukiwatajia age hiyo wanakwambia bado sana ww pambana bdo chalii , hv kweli et Street difficult zinaleta utafutaji wa ages kweli?
Hapana mkuu hakuna ubaya, ni jamii zetu tu zimeset standards kwenye baadhi ya mambo. Sema ukipata mchongo wa kueleweka kwenye 20s, 30s, 40s au vyovyote vile, Just do your best.
 
Hukuwa na nia yakumsaidia kijana..Ungemuendea huko alikoomba PM mukamalizana kimnyakimnya
 
Asante sana mkuu na kunitia moyo , mungu akubariki pia.
 
Ile issue ya EACOP ulifatilia.

Nimeona vijana wengi wanapambania hiyo eemh katest zali huko.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mkuuu nimeku pm hiyo 50,0000 nisaidie Mimi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nahitaji kazi yeyote hata ya 200,000 kwasasa nipe connection.

Anyway kukosa bando kunafanya usiwe online muda mwingi hata connection unazopata unachelewa kujibu PM mtu anakuona hauko serious aise kama kuna mtu anifadhiri 50,000 niwe na muscles ya ku-stay online na kusambaza CV kama jamaa hapo juu nitaahukuru
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Kujikuta una maisha....anaesaidia angeenda PM acha kujifanya una ubinadamu uongo mtupu lengo lako ni kibri na kuonesha ulivyo maamuma
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji706][emoji706][emoji706] Kujikuta una maisha....anaesaidia angeenda PM acha kujifanya una ubinadamu uongo mtupu lengo lako ni kibri na kuonesha ulivyo maamuma
Namlaumu baba Yako kwa kutovaa kondomu mpaka akatungisha mimba ya kichaa kama wewe....wasted sperm!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ