Wakuu njooni tujifunze kuongea kiarabu

Tukijua tujiunge alshabab
hahaha
hiyo ñi lugha tu kama kindengereko, tatizo kuna jamaa wameivamia na kuifanya ya kupambania kwenye mambo ya kidini.
Ni sawa na kilatini kilivyogeuzwa lugha ya kidini wakati ni lugha tu kama KIHAYA.
 
Mtafute mwalimu, kiarabu siyo KIHAYA..ni kipana saaana yaani bahri... Mambo mengi we Acha Tu!!
 
Back
Top Bottom