kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 268
ni kweli nina wito ila kwa kuwa serikali haijali inabidi tuforce tu kubadilisha wewe mwenyewe angalia waalimu wanavyodharauliwa man!!!inauma sananaomba kujua hivi ni ruksa kwa mfanyakazi wa serikali kuhama wizara??kwa mfano mimi ni mwalimu katika shule moja ya msingi hapa tanzania ila kwa sasa nipo chuo nasoma na nimeamua kusoma mambo ya utawala yaani public administration lengo langu ni kwamba nikishamaliza degree na masters yangu niombe kuhama wizara yaani toka wizara ya elimu mfano kuhamia wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa kwenye kitengo cha utumishi au mipango sasa ni hatua zipi za kufuata ili niweze kuhama wizara?maana nimeshashuhudia waalimu wengi wanapobadili kozi wakiwa chuo yaani wanaposoma kitu tofauti na education mara tu warudipo kazini wizara ya elimu huwa inawakataa kwa kuwa wamesoma kitu tofauti na elimu hivyo huwa wanasema kwamba bachelor ambayo haina education ndani yake haina msaada kwao hivyo naomba msaada na ushauri kwa hilo!
mkataba kwa mkurugenzi ni kwamba nitafanya kazi miaka 5 bila kuhama nayo ilishapita sema wasiwasi wangu nikimwambia nabadilisha yaani yeye anibadilishie idara atakubali??Kazi ipo. Best inawezekana ila ule mkataba ambao mlikubaliana na mkurugenzi mtendaji ndo utakubana manake kama ni serikali ndo inakulipia watataka upande kwenye ualimu huo huo vinginevyo ukirudi watakuajiri kwa ile ile BA yako. Ongea na mkurugenzi au ukimaliza omba upya kama mwombaji wa kwanza. KUMBUKA UALIMU NI WITO lakina maslahi ni muhimu!
poa man ila mimi tayari ni mwajiliwa wa serikali kama mwalimu na nipo hapa chuo nina ruhusa toka kazini kwangu ya kuja kusoma hapa chuo so nilichotaka kujua tu ni kwamba kama kuna uwezekano nokishamaliza masomo yaani kama sheria inaruhusu kubadili idara!maliza shule yako kaka halafu omba upya kazi wizara nyingine kama nafasi zipo au kampuni binafsi maanake serikarini nako kama huna refaa basi wewe ulie tu
poa man ila mimi tayari ni mwajiliwa wa serikali kama mwalimu na nipo hapa chuo nina ruhusa toka kazini kwangu ya kuja kusoma hapa chuo so nilichotaka kujua tu ni kwamba kama kuna uwezekano nokishamaliza masomo yaani kama sheria inaruhusu kubadili idara!
ualimu ni wito, sasa wewe unasoma hadi kwenye ma-master sijui ya public admn kutafuta nini???????????????/////
nyie si ndio akina mkoba nyie???............................. jamani rudini kwenye wito wenu.........................
ualimu ni wito, sasa wewe unasoma hadi kwenye ma-master sijui ya public admn kutafuta nini???????????????/////
nyie si ndio akina mkoba nyie???............................. jamani rudini kwenye wito wenu.........................
kuna watu huwa wanahama sasa sijui huwa ni michongo??waana kuna baadhi ya waalimu ambao nawafahamu walisoma public administration hapo mzumbe na sasa ni maafisa utumishi na HRM sema sijui mbinu gani walitumia!na kwanini serikari iwe hivyo?kwasababu si kwamba naacha kazi ni kwamba nahama idara ndani ya serikali hiyohiyo ila ajira yangu haipo wizara ya elimu bali ipo TAMISEMI chini ya mkurugenzi mtendajji wa wilaya!Ukwali ni kwamba wizaraya elimu inataka kuretain waalimu kwa muda mrefu si unajua watu wengi wanaingia uwalimu kama sehemu tu ya kupita? So inakuwa sio rahisi kukubali uhame ila the simple way unameza kuomba kazi unayoitaka ukipata unaamisha data zako tu hapo hawawezi kukataa.
naomba kujua hivi ni ruksa kwa mfanyakazi wa serikali kuhama wizara??kwa mfano mimi ni mwalimu katika shule moja ya msingi hapa tanzania ila kwa sasa nipo chuo nasoma na nimeamua kusoma mambo ya utawala yaani public administration lengo langu ni kwamba nikishamaliza degree na masters yangu niombe kuhama wizara yaani toka wizara ya elimu mfano kuhamia wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa kwenye kitengo cha utumishi au mipango sasa ni hatua zipi za kufuata ili niweze kuhama wizara?maana nimeshashuhudia waalimu wengi wanapobadili kozi wakiwa chuo yaani wanaposoma kitu tofauti na education mara tu warudipo kazini wizara ya elimu huwa inawakataa kwa kuwa wamesoma kitu tofauti na elimu hivyo huwa wanasema kwamba bachelor ambayo haina education ndani yake haina msaada kwao hivyo naomba msaada na ushauri kwa hilo!