wakuu nisaidieni kwa hili maana linanipa tabu sana!

kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
3,073
Likes
23
Points
135
Age
42
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
3,073 23 135
naomba kujua hivi ni ruksa kwa mfanyakazi wa serikali kuhama wizara??kwa mfano mimi ni mwalimu katika shule moja ya msingi hapa tanzania ila kwa sasa nipo chuo nasoma na nimeamua kusoma mambo ya utawala yaani public administration lengo langu ni kwamba nikishamaliza degree na masters yangu niombe kuhama wizara yaani toka wizara ya elimu mfano kuhamia wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa kwenye kitengo cha utumishi au mipango sasa ni hatua zipi za kufuata ili niweze kuhama wizara?maana nimeshashuhudia waalimu wengi wanapobadili kozi wakiwa chuo yaani wanaposoma kitu tofauti na education mara tu warudipo kazini wizara ya elimu huwa inawakataa kwa kuwa wamesoma kitu tofauti na elimu hivyo huwa wanasema kwamba bachelor ambayo haina education ndani yake haina msaada kwao hivyo naomba msaada na ushauri kwa hilo!
 
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,504
Likes
35
Points
145
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,504 35 145
ualimu ni wito, sasa wewe unasoma hadi kwenye ma-master sijui ya public admn kutafuta nini???????????????/////

nyie si ndio akina mkoba nyie???............................. jamani rudini kwenye wito wenu.........................
 
ni kweli nina wito ila kwa kuwa serikali haijali inabidi tuforce tu kubadilisha wewe mwenyewe angalia waalimu wanavyodharauliwa man!!!inauma sana
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,368
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,368 280
Kazi ipo. Best inawezekana ila ule mkataba ambao mlikubaliana na mkurugenzi mtendaji ndo utakubana manake kama ni serikali ndo inakulipia watataka upande kwenye ualimu huo huo vinginevyo ukirudi watakuajiri kwa ile ile BA yako. Ongea na mkurugenzi au ukimaliza omba upya kama mwombaji wa kwanza. KUMBUKA UALIMU NI WITO lakina maslahi ni muhimu!
 
geprony

geprony

Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
23
Likes
1
Points
5
geprony

geprony

Member
Joined Mar 17, 2009
23 1 5
maliza shule yako kaka halafu omba upya kazi wizara nyingine kama nafasi zipo au kampuni binafsi maanake serikarini nako kama huna refaa basi wewe ulie tu
 
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
3,073
Likes
23
Points
135
Age
42
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
3,073 23 135
Kazi ipo. Best inawezekana ila ule mkataba ambao mlikubaliana na mkurugenzi mtendaji ndo utakubana manake kama ni serikali ndo inakulipia watataka upande kwenye ualimu huo huo vinginevyo ukirudi watakuajiri kwa ile ile BA yako. Ongea na mkurugenzi au ukimaliza omba upya kama mwombaji wa kwanza. KUMBUKA UALIMU NI WITO lakina maslahi ni muhimu!
mkataba kwa mkurugenzi ni kwamba nitafanya kazi miaka 5 bila kuhama nayo ilishapita sema wasiwasi wangu nikimwambia nabadilisha yaani yeye anibadilishie idara atakubali??
 
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
3,073
Likes
23
Points
135
Age
42
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
3,073 23 135
maliza shule yako kaka halafu omba upya kazi wizara nyingine kama nafasi zipo au kampuni binafsi maanake serikarini nako kama huna refaa basi wewe ulie tu
poa man ila mimi tayari ni mwajiliwa wa serikali kama mwalimu na nipo hapa chuo nina ruhusa toka kazini kwangu ya kuja kusoma hapa chuo so nilichotaka kujua tu ni kwamba kama kuna uwezekano nokishamaliza masomo yaani kama sheria inaruhusu kubadili idara!
 
B

Bao3

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Messages
318
Likes
9
Points
0
B

Bao3

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2009
318 9 0
poa man ila mimi tayari ni mwajiliwa wa serikali kama mwalimu na nipo hapa chuo nina ruhusa toka kazini kwangu ya kuja kusoma hapa chuo so nilichotaka kujua tu ni kwamba kama kuna uwezekano nokishamaliza masomo yaani kama sheria inaruhusu kubadili idara!
Unajua haya mambo ya kubadili wizara/idara mara nyingi hua yanasemwa tu ila pilika zake mpaka utaona udhia, ndio maana wengi huamua kusepa tu na kuanza upya huko waendako. Ni rahisi kuacha na kuanza upya kuliko process za kubadili wizara/idara za bongo. Nimeona wengi walishasumbuliwa na baadae kuamua kuacha na kuomba kwingine upya tu.
 
Fredwash

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Messages
607
Likes
181
Points
60
Fredwash

Fredwash

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2009
607 181 60
ualimu ni wito, sasa wewe unasoma hadi kwenye ma-master sijui ya public admn kutafuta nini???????????????/////

nyie si ndio akina mkoba nyie???............................. jamani rudini kwenye wito wenu.........................

TEHE TEHE TEHE kaka punguza munkari...... natumaini somo limemfikia.. ila pengine alikuwa anatafuta stepping stone c unajua kibongobongo.... anyway apewe nafASI
 
R

rmakies

New Member
Joined
Sep 7, 2009
Messages
2
Likes
0
Points
0
R

rmakies

New Member
Joined Sep 7, 2009
2 0 0
Ukwali ni kwamba wizaraya elimu inataka kuretain waalimu kwa muda mrefu si unajua watu wengi wanaingia uwalimu kama sehemu tu ya kupita? So inakuwa sio rahisi kukubali uhame ila the simple way unameza kuomba kazi unayoitaka ukipata unaamisha data zako tu hapo hawawezi kukataa.
 
Original Pastor

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
1,256
Likes
12
Points
135
Original Pastor

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
1,256 12 135
Usiwe na wasi wasi cha kufanya kila kazi ni wito wewe unataka kuhama Wizara ni simpo tu fuatilia matangazo ya Kazi kwenye gazeti la Serikali wakati ukiwa huko huko ualimu ukishapata omba hiyo kazi Wizara husika unayoihitaji kisha ukiitwa kwenye usahili nenda alafu ukifanikiwa kupata sasa hapo ndipo utaacha ualimu masaa 24 hiyo inawezekana. Kwani sheria zetu za Bongo haziruhusu mtu kuhama Wizara labda tu Utumishi ndio wakuhamishe tena.
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,511
Likes
198
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,511 198 160
ualimu ni wito, sasa wewe unasoma hadi kwenye ma-master sijui ya public admn kutafuta nini???????????????/////

nyie si ndio akina mkoba nyie???............................. jamani rudini kwenye wito wenu.........................
Pathetic
 
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
3,073
Likes
23
Points
135
Age
42
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
3,073 23 135
Ukwali ni kwamba wizaraya elimu inataka kuretain waalimu kwa muda mrefu si unajua watu wengi wanaingia uwalimu kama sehemu tu ya kupita? So inakuwa sio rahisi kukubali uhame ila the simple way unameza kuomba kazi unayoitaka ukipata unaamisha data zako tu hapo hawawezi kukataa.
kuna watu huwa wanahama sasa sijui huwa ni michongo??waana kuna baadhi ya waalimu ambao nawafahamu walisoma public administration hapo mzumbe na sasa ni maafisa utumishi na HRM sema sijui mbinu gani walitumia!na kwanini serikari iwe hivyo?kwasababu si kwamba naacha kazi ni kwamba nahama idara ndani ya serikali hiyohiyo ila ajira yangu haipo wizara ya elimu bali ipo TAMISEMI chini ya mkurugenzi mtendajji wa wilaya!
 
B

blackpepper

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
382
Likes
2
Points
33
B

blackpepper

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
382 2 33
piga shule ...maliza then omba kazi sehemu yoyote ile si lazima serikalini mzee.Watakubania u hao
 
M

mnyakyusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
248
Likes
6
Points
35
M

mnyakyusa

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
248 6 35
Ina maana uliomba ualimu kwa kuwa ulikua na dhiki au ilikuaje na leo uamze kuikataa kazi yako na kubadili fani???
 
H

HUBERT MLIGO

Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
46
Likes
0
Points
13
H

HUBERT MLIGO

Member
Joined Oct 23, 2009
46 0 13
naomba kujua hivi ni ruksa kwa mfanyakazi wa serikali kuhama wizara??kwa mfano mimi ni mwalimu katika shule moja ya msingi hapa tanzania ila kwa sasa nipo chuo nasoma na nimeamua kusoma mambo ya utawala yaani public administration lengo langu ni kwamba nikishamaliza degree na masters yangu niombe kuhama wizara yaani toka wizara ya elimu mfano kuhamia wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa kwenye kitengo cha utumishi au mipango sasa ni hatua zipi za kufuata ili niweze kuhama wizara?maana nimeshashuhudia waalimu wengi wanapobadili kozi wakiwa chuo yaani wanaposoma kitu tofauti na education mara tu warudipo kazini wizara ya elimu huwa inawakataa kwa kuwa wamesoma kitu tofauti na elimu hivyo huwa wanasema kwamba bachelor ambayo haina education ndani yake haina msaada kwao hivyo naomba msaada na ushauri kwa hilo!

Shida iko wapi mwalimu. Ukimalisa kisomo omba kazi nyingine bora kuliko hiyo ukipata acha ualimu. Ila usithubutu kuacha bila kupata nyingine...Utajuta!
 
A

Anniem

Member
Joined
Aug 27, 2009
Messages
31
Likes
0
Points
0
A

Anniem

Member
Joined Aug 27, 2009
31 0 0
inawezekana kuhama ila kama kuna longolongo omba kazi upya ukisikia imetangazwa kupitia mwajiri wako.
Ila lazima ufaham mkataba wako kama wanakusomesha wao
 
J

janusqm1

Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
21
Likes
0
Points
0
J

janusqm1

Member
Joined Jul 20, 2007
21 0 0
Hiyo inawezekana, lakini inategemea na mahitaji ya mkurugenzi. Kama mkurugenzi ana upungufu katika idara ya mipango, uchumi au sehemu yoyote na kuna mtu mwenye sifa hizo, anamchukua, anaendelea kulipwa kama mwalimu lakini anafanya kazi ya mipango au idara yoyote anayofiti wakati taratibu za kuhama wizara zinaendelea. Ukimaliza chuo jaribu kuongea na mkurugenzi wako wa halmashauri, kama ni mwelewa na anahitaji mtu wa fani yako anaweza kukusaidia. Nilifanya field kwenye halmashauri moja, na niliona jamaa ambaye alikuwa ananitrain alikuwa ni mwalimu lakini akajiendeleza na kuwa mhasibu. Nasisitiza inategemea na nafasi alizonazo mkurugenzi, kwa uhasibu haiwezekani tena kwa sababu hazina ndiyo inaajiri kwa sasa lakini idara zingine kama mipango na utawala inawezekana. Don't give up man, wasikukatishe tamaa.
 
M

mtossah

New Member
Joined
Feb 5, 2010
Messages
4
Likes
0
Points
3
M

mtossah

New Member
Joined Feb 5, 2010
4 0 3
Mkubwa suala siyo kuhama wizara kama ahamavo mwanafunzi shule!! we soma then ukimaliza, fanya utaratibu wa kutafuta kazi kama kawaida, usitegemee kua utapewa form itakayokulazimu kujaza ili uhame wizara!!
 
Forum statistics

Threads 1,236,305
Members 475,050
Posts 29,253,497