Wakuu nisaidieni hili nalo msinichoke

nenda wizara ya elimu pale opp na ikulu kama upo Dar waambie walinzi unaenda idara ya sekondari chumba 103 sina uhakika na hiyo namba so utaweza kukutana na wadau wengine komaaa pale mpaka kieleweke uwe na sababu mbichi kufanya uhamisho hata hiyo shule uliyopangiwa usikanyage
 
Na kubadili shule uliopangiwa kwenda nyingine inakuwaje?
 
Iv hata darasan upo iv? We mtu amekuelewsha vzr tu hujamuelw
Baada ya kusoma tena ndo nmeelewa vizur .. tatizo kichwa cha habari klikuwa kinazumzia kubadil Comb dats y & nlisoma kwa harak tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…