Wakuu nina wazo

Demu kagundua huyo mwanaume sio class yake kaamua kumtafutia muacho kimtindo, sasa umkute demu anamiliki gheto halafu utegemee kumuhonga pesa mbuzi km mwanafunzi kweli??

Yy atafute demu anayekaa kwao ndio atammudu akimpa laki kwa mwezi atacheka muda wote…!!! Hao wapambanaji sio size yake ss hivi, aendelee kujitafuta.
 
Mahusiano siku hizi magumu sana yani ukishaanza mahusiano kodi zinaisha na simu zinakua mbovu
 
Yes mkuu mimi alinivunja moyo sio kwamba siwez kumgaramia but respond yake airidhishi kabisa
 
Yupo na iphone X anataka afanye top up apate iphone 12pro
Mkuu mbona huyu demu kama namfahamu..?🤣🤣🤣

Kuna ambae nilikua nae juzi nae ana iphone x na kaniambia haitaki tena anataka ku top up achukue 13 pro max. Nikamuambia umeambiwa uongeze shing ngapi anadai kaambiwa ajazie 1.5m. Namuuliza ehee we una ngapi sasa kati ya hizo? Anasema ana 100k! (Najua ni uongo hana ata mia) 🤣🤣🤣 Nilicheka sana nikamuambia hebu vua nguo tulale..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…