BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,102
- 14,024
Mwisho unaleta utaniKulazimisha penzi Ni sawa na kulazimisha faniš
Mwisho unaleta utaniKulazimisha penzi Ni sawa na kulazimisha faniš
Hutaki kuwa ka mradi?Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.
Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.
Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.
Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.
Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.
Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
EX...vipi Aendelee kumlipia??Kwani alikuwa analipiwa na nani?
Ana kazi mshahara wake anapeleka wapi?EX...vipi Aendelee kumlipia??
Verry sure bro haya mambo yanachangiwa na wanawake kwa kiac kikubwaHizo pigo ndio zinanifanya mpaka leo miaka thelathini na kitu naendelea kujichukulia sheria mkononi
ChaiPesa ninayo ila sitaki kuitumia kwa mtu asie sahihi ndio maana nataka nimkomoe
KunywaChai
Kisha una leta utaniKulazimisha penzi Ni sawa na kulazimisha faniš
Kwani chumba hicho ana kaa nani?Sa unataka nani amlipie Kodi mchumba wako?
Mchumba wake.Kwani chumba hicho ana kaa nani?
kumbe ni mchumba mi nika jua mke, wahuni sura ya 3 mstari wa kwanza Ina Sema kila mtu abebe msalamba wakeššMchumba wake.
Heeeee mbona wahuni 4 mstari wa sita inasema "na akipendecho binti wahuni tunanunua ili ikifika mida miti aside akazingua au ninenukuu vibaya waraka wa Harmonize kwa watanzania?kumbe ni mchumba mi nika jua mke, wahuni sura ya 3 mstari wa kwanza Ina Sema kila mtu abebe msalamba wakešš
Harmonize huyo huyo kwenye wagumu tuna dumu sura ya 6, ali sema kila mtu abebe msalamba wake šHeeeee mbona wahuni 4 mstari wa sita inasema "na akipendecho binti wahuni tunanunua ili ikifika mida miti aside akazingua au ninenukuu vibaya waraka wa Harmonize kwa watanzania?
Vijana mnashida sana. Haya mgonge mara moja.nimgonge mara ya mwisho
Amini mwananguHuyu bado hajawajua hawa viumbe
Bila ukauzu hutoboi!
Mkuu nismeshatokaVijana mnashida sana. Haya mgonge mara moja.
Red flags zote zipo juu bado tu umekomaa