Wakuu nimetengeneza chat App

Wakuu nimetengeneza chat App

Hongera ila sijajua hiyo UI ilivyo ulitaka uachieve nini... Nadhani iko very basic so ungeendelea kuiweka sawa ili ikae kikubwa zaidi.
Ndio mkuu hiyo ni majaribio feedback kama hizi ndio nachukua kuboresha zaidi
 
Na hako kapicha ka roketi inaamana na nyinyi mnatokea mashariki ya kati....

1750376614718.png
 
Back
Top Bottom