Wakuu nimepelekwa shule msingi nipeni uzoefu

Wakuu nimepelekwa shule msingi nipeni uzoefu

CUBICBOY

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
322
Reaction score
258
Habari wakuu mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari nimepelekwa msingi naombeni uzoefu humu ndani mwalimu wa shule ya msingi
 
Kapige kazi mkuu...kwa kawaida huyo ndiye mwajiri wako; ana mamlaka ya kukupangia majukumu ya kiutumishi kwa kadri atakavyoona inafaa kwa council yake.
 
hakuna tofauti mkuu kapige kazi, la msingi ni kwenda kufanya kazi kwa moyo na kujiendeleza zaid kielimu
 
Kinachomuumiza roho ,vitoto vya shule ya msingi ni vidogo sana na bado vinanuka mikojo na majasho sasa zile mishe zake kwa vitoto vya form three na four vinavyojua kujikosha na kuvaa shati zao nyeupe za kupendeza atazikosa

Nakuombea tu usipangiwe kufundisha darasa la kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Kweli mkuu asije akajisahau akaanza ktmba vitoto vya watu. Ni hatar
 
duh..maisha bwana..yani kutoka kufundisha secondary mpaka kufundisha darasa la kwanza?
 
Kapige kazi Mkuu furahia majukumu kama kawiada na maisha yataenda taratibu
 
Jifunze zile nyimbo zetu za mabata madogo madogo yanaogelea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiufupi unaye enda kufundisha S/M jiandae kisaikolojia usiwe mkali sana kwa hao watoto kwani unapaswa kuwaelekeza mambo kidogo kwa kuyarudia rudia sana vinginevo utawaumiza kwa kipigo kiufupi ni rahisi sana kufundisha huko .
 
Back
Top Bottom