Wakuu nimepelekwa shule msingi nipeni uzoefu

Wakuu nimepelekwa shule msingi nipeni uzoefu

a e i o u

Hizi ni herufi kuu

Tamka kwa sauti kuu

Sema a e i o u

Ajogoo a a a

In mwalimu Kantinga's voice
 
Soma silabasi ya masomo unayotakiwa kufundisha. Huko kazi yako ni nyepesi maana utafundisha vitu rahisi kwa lugha rahisi ya kiswahili na kwa mshahara ule ule. Kifupi umelamba bingo.
Kama hajui , hajui tu hakuna kitu rahisi bwana, teaching is procedures, advantage yake lugha tu lakini kama kichwani hakuwa vizuri basi atabaki kuwa hivyo
 
kwani si tuliambiwa walimu wanaopelekwa shule za msingi ni wale ambao walikuwa wanafundisha shule za msingi ila baadae wakajiendeleza? au tulipigwa changa la macho? anyway fungua tu moyo, huko utakutana na walimu wengine watakupa miongozo tena wao wana uzoefu kabisa.
 
Back
Top Bottom