huyo salma alimpokea kwa shangwe na inasemekana amefurahi huyoo balaaUnajisikiaje kusikia wametoka wako huru
huyo salma alimpokea kwa shangwe na inasemekana amefurahi huyoo balaaUnajisikiaje kusikia wametoka wako huru
Haweki. Wapo wengi kama huyo!Aaahhhh weka evidence hapa
Wakuu heshima kwenu.
Aisee nilikua nasikiliza wimbo wa Papii kocha Salima..nimemkumbuka sana yule bwana..ningekua karibu ningeenda kumtembelea gerezani..dah maisha haya.