Wakuu nimeibiwa

Kwani wewe sio rafiki yako? Wapi kasema anahitaji hela?mimi na bushmamy tunaelewena kivyetu vyetu!
Hapana Mimi sio rafiki yangu, hata kama hajasema lakini wewe hebu tumia akili katoka kuibiwa cash huyo,hvyo sio mbaya ukampa japo hata laki ikampooza machungu alipie bills ndogo ndogo za kwenye biashara yake hyo.

#wanawakempendane
 
Hapana Mimi sio rafiki yangu, hata kama hajasema lakini wewe hebu tumia akili katoka kuibiwa cash huyo,hvyo sio mbaya ukampa japo hata laki ikampooza machungu alipie bills ndogo ndogo za kwenye biashara yake hyo.

#wanawakempendane


Haya!
 
inuka endelea na safari usipoteze muda kumtafuta huyo mjinga unaweza poteza muda kumtafuta na ukabahatika kumpata mwisho akakataa katakata kuwa hajaiba na utoe uthibitisho kuwa ameiba.....

Dada wa kazi wa jamaa angu aliiba mil 6 akatokomea wakamtafuta sana na kumtrack juu mwisho wakampata... Akakataa katakata kuwa hakuiba akauliza uthibitisho uko wapi wakamuuliza kwann aliondoka sasa akasema alienda kwao hana sababu nyingine. up to today pesa haijarudi na jamaa aliamua kumuachia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wahi kwa mtaalam tu azirudishe mwenyewe kabla mambo hayajaharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeibiwa kiasi gani?(hili swali mbona hujibu)Unasema kakutia hasara sana. Ina maana pesa za mahesabu kila siku ulikuwa unaziacha ofisini [huo ni uzembe].
Maana kama angeondoka na hesabu ya siku moja isingekuwa shoti kiasi hiko.

Achana nae usihangaike kumtafuta. Utapata tu hasara mara mbili. Huo muda inuka jipukute vumbi songa mbele kuna mema zaidi yako mbele.
 
Ulikosea kukaa naye kwenye biashara bila kumla!
Ungekuwa umemla isingekuuma sana!!
Pole mkuu..!
 
Mshahara wa dhambi mkuu ndo huo! Mapenzi kazini lazima yata react tu! Ila amejilipa kwa mbunye yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yake akiugua, haimpi kibali cha kuiba pesa... the end does not justfy the means,,, good end cannot be sought with evil means

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa masaibu hayo sister.

Nimependa ulivyohitimisha andiko lako.... nondo kwa kando!

Endelea kumuwinda huyo mduwanzi. Utamnasa tu. Pia waeza samehe na maisha yakaendelea.

-Kaveli-
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…