Wakuu nimeibiwa

Na Mimi na Like kwa maandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi, mdokozi na tapeli. Hawa watu ni zaidi ya mchawi. Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku nasemaga.....
Kama dhambi zingekewa zinawekwa kwa viwango...
basi haya makundi ingekua Ni namba 2 baada ya muuaji....

Wanarudisha sana nyuma na kuumiza mioyo ya watu...

Usiombee kbsa....
Suala sio kiwango kilivhoenda...
Suala ni je ulikua unakihitaji kiasi gani, umepambana kiasi gani kukipata, unakitegemea kiasi gani....

Dada pole...

Bushmamy pole...
 
Pole kwa mtihani kila mtu anajisemea kwa nafsi yake
Je?brother huyu bint ukimlipa mshahara kwa wakati,na hakua akikudai chochote
Nadhani ni hivyo .
Basi kama ni hivyo chukua tahadhari japo kuna usemi ambao Mimi siuafiki wanaseama Adui wa kwanza katika kazi yako ni mfanyakazi wako
Pole sana’
 


Hata kama ni ndogo kiasi gani kuibiwa kunauma...amemrudisha nyuma
 
Kill mwisho wa siku,msimamizi anatakiwa kukabidhi pesa za mauzo,asilale nazo,
Unamwachia pesa za mauzo wiki nzima ukitegemea Nini?
 
Ulifanya kosa kubwa sana kumla
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…