georgina george
Senior Member
- Dec 19, 2012
- 114
- 30
- Thread starter
- #61
jokes za majukwaa yenu usituletee hapa,stupid son of bi*tch
Mmmh, LWKMD!
jokes za majukwaa yenu usituletee hapa,stupid son of bi*tch
mimi kama daktari sijaona tatizo kwa wote wawili katika hesabu hizo kuna 25days + or -, kikubwa fanya ya fuatayo. Mosi, andaa vifaa kama ulivyoelekezwa clinic. Pili, zijue dalili za uchungu coz siku ya mtoto kutoka inafahamika 1,2,3 days before. Tatu, piga ultrasound inapatikana kila wilaya tanzania ili ujue exactly una mimba ya umri gani na hali ya kiafya ya mtoto. Suala la operation hasa planned yaweza fanyika any date between hizo 25 days coz mimba itafikisha 36weeks (9months). Huko uliko sasa shika ya daktari wa huko unless utaonekana unamatabibu wengi upotoshwa au utanyanyapaliwa wodini wakuite anaejifanya.
.......
Duuuh, mbona roho inaanza kudunda! Wiki nzima sipati usingizi hasa kuanzia saa 8 usiku hadi saa 10 alfajiri.
georgina george dr. Wa Kwanza yupo sahihi na mimi ilitokea tarehe kama zako ila mimi niliambiwa tarehe ya kujifungua ni tarehe 16-4 ikatokea tarehe 17-4Poa mkuu!
Haya mahesabu yanategemea mzunguko wake ni wa siku 21, 28, 35 etc.Kwa kurejea tarehe ulizotaja, mimba ulipata kwenye tarehe 22/07/2013, mimba yako sasa ina umri wa wiki 38 na tarehe tarajiwa ya kujifungua ni 14/04/2014, na inaweza kufikia hadi tarehe 28/04; hongera sana, nani kama mama?. Hesabu hii inategemea kwamba mzunguko wako wa hedhio ni wa kawaida, yaani siku 28. Kuhusu hao madakitari wawili, wewe rejea ushauri wa Mheshimiwa Rais wetu: Akili ya kuambiwa, changanya na yako!!!
Kama tarehe 8 ndio ilikuwa siku ya kwanza, kwa kalenda ya google inasema due date ni 14th April 2014. Ila muone daktari kwa ushauru zaidi, sie madaktari kanjanja tusije tukakuingiza chaka. Na ndio maana nikasema, isingekuwa issue ya planned tarehe, ungesubiri mpaka uone dalili za mauza uza ndio ujisogeze...
mungu ndie muweza wa yote natumai umefanikisha au utafanikisha.
Haya mahesabu yanategemea mzunguko wake ni wa siku 21, 28, 35 etc.
Kama mzunguko wako ni wa siku 28 tarehe ya makisio ni 15 April 2014.
Mmmh! Mpigania Uhuru umekosea.
Mmmh! Mpigania Uhuru umekosea.
Mimi kama daktari sijaona tatizo kwa wote wawili katika hesabu hizo kuna 25days + or -, kikubwa fanya ya fuatayo. Mosi, andaa vifaa kama ulivyoelekezwa clinic. Pili, zijue dalili za uchungu coz siku ya Mtoto kutoka inafahamika 1,2,3 days before. Tatu, piga ultrasound inapatikana kila wilaya Tanzania ili ujue exactly una mimba ya umri gani na hali ya kiafya ya Mtoto. Suala la operation hasa planned yaweza fanyika any date between hizo 25 days coz Mimba itafikisha 36weeks (9months). Huko uliko sasa shika ya daktari wa huko unless utaonekana unamatabibu wengi upotoshwa au utanyanyapaliwa wodini wakuite anaejifanya.
.......
Ipo hivi, chukua tarehe ya hedhi ya mwisho.LNMP.eg, 20.8.2013.....penye tarehe jumlisha 7, kwenye mwezi toa 3, kama mwezi ni chini ya 4, eg mwezi wa 3, 2,1 unajumlisha 3.....so Expected date of derivery EDD. ni 27.5.2014......inakupa 40 weeks za ujauzito
27.05.2014???
Dah pole sana