Wakuu NCCR wahutubia matairi huko Temeke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu NCCR wahutubia matairi huko Temeke

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chief Isike, Sep 1, 2011.

1. Chief Isike

Chief Isike JF-Expert Member

#1
Sep 1, 2011
Joined: Jan 17, 2010
Messages: 445
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Wakuu kwa taarifa za haraka haraka ambazo bado ni mbichi, katika mkutano wao uliokuwa ukifanyika leo huko Temeke ambako mmoja wa wahutubiaji alikuwa ni Kafulira (nilisikia hivyo mapema), NCCR wamejikuta wakihutubia matairi, badala ya watu, baada ya kushindwa kujikusanyia watu wa kutosha kuwasikiliza.

Nasikia wako katika harakati za kukijenga chama chao, kwa staili ya CHADEMA.

2. Mungi

Mungi JF Gold Member

#2
Sep 1, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
Bila shaka NCCR ni CCM-C
Tambwe alikuwepo? anakuwa na tabia ya kutangaza mkutano na pilau itakuwepo

3. yangoma

yangoma Member

#3
Sep 1, 2011
Joined: Sep 1, 2011
Messages: 72
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
wote hao ni ccm wasikuumize kichwa somo wana mfungu hao

4. Chief Isike

Chief Isike JF-Expert Member

#4
Sep 1, 2011
Joined: Jan 17, 2010
Messages: 445
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Wahutubiaji walikuwa ni Hashim Rungwe na David Kafulira, aisee sasa nimehakikisha kwa kujionea baadhi ya picha, wakuu watu ni zaidi ya kusema wachache, kweli siasa kaaaaaaaaaazi ya uvumilivu, kuhutubia uwanja mtupu, inaweza kukuhitaji akili ya uwendawazimu1 Mabere Marando aliwahi kuniambia one time kuwa wakati wakianzisha harakati za mageuzi nchini early 90's, aliwahin kuhutubia nyasi maeneo ya Ingunga huko. Watu wamejificha majumbani. Enzi hizo watu wakikusikia inaitukana serikali, unahoji mambo wanashangaa umepata wapi uwezo huo. Kisha wanajua kuwa wakija kukusikiliza watakamatwa. Anasema walikuwa wanajikaza hivyo hivyo, mathalani hapo Igunga, walipinga nondo za kufa mtu, walipotoka wakaacha tawi la watu kama tisa hivi. Du!

5. Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

#5
Sep 1, 2011
Joined: Jul 3, 2007
Messages: 4,753
Likes Received: 179
Trophy Points: 160
Hashim Rungwe ameshamaliza kuijaza CV yake... (aliwahi kugombea urais)sasa anahaha nini?

6. B

Bucad Senior Member

#6
Sep 1, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 120
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Teeh!teeh! teeh!yaani nilicheka sana maana nami nilipita mitaa hiyo nikiwa kwenye gari. Kumbe ni nccr mageuzi!! Sasa kwani ni lazima kwa hali hiyo chama kiendelee kuwepo? Au ndo ruzuku!

7. j

janja pwani Senior Member

#7
Sep 1, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 104
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Temeke hiyo ngome ya CUF, wacha NCCR hatahao magwanda huwa wanachemka.

8. nguvumali

nguvumali JF Bronze Member

#8
Sep 1, 2011
Joined: Sep 3, 2009
Messages: 4,864
Likes Received: 143
Trophy Points: 160

hahaah nasikia CuF NA NCCR ni jumuiya za ccm.

9. Mzito Kabwela

Mzito Kabwela JF-Expert Member

#9
Sep 1, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 17,519
Likes Received: 1,689
Trophy Points: 280
Lete takwimu kusupport hiyo argument otherwise ni mataputapu tu

10. only83

only83 JF-Expert Member

#10
Sep 1, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 5,252
Likes Received: 444
Trophy Points: 180
......................Hapo namuonea huruma kafulila tu..lol!! nadhani anakuwa mpweke sana NCCR-Mageuzi..

11. M

Mthuya JF-Expert Member

#11
Sep 2, 2011
Joined: Jun 9, 2011
Messages: 1,415
Likes Received: 65
Trophy Points: 145

///////// Nduguyangu Kama Temeke niya Cuf , Mtemvu ni mbunge wa cuf ? Au Cuf inaongoza kwa wenyeviti wa vitongoji?

12. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#12
Sep 2, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160

CCM ni majangiri ya kura za wananchi, wako tayari hata kukunua na kukumwagia mapesa ili uwaachie ushindi!

13. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#13
Sep 2, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,969
Likes Received: 2,963
Trophy Points: 280
Kama una akili timamu hiyo kazi ngumu sana. Utawezaje kuhutubia matairi?

14. Mkuu wa chuo

Mkuu wa chuo JF-Expert Member

#14
Sep 2, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,253
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
kwa hiyo walikosa watu wakaamua kwenda kutafuta matairi na kuyaweka!? Si wangesomba watu kwa magari kama wenzao magamba...

15. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#15
Sep 2, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
NCCR Mageuzi msife moyo ipo siku mtapata watu, David Kafulira ni kati ya wanasiasa makini hapa Tanzania.
Mbona magamba wanajaza watu kwenye mikutano yao inasaidia nini!

16. Hossam

Hossam JF-Expert Member

#16
Sep 2, 2011
Joined: Feb 10, 2011
Messages: 2,363
Likes Received: 241
Trophy Points: 160
Hujui unalosema! Yawezekana na wewe ni ndugu moja na akina Nape ambao wameamua kuwateka msio ona mbali kama wewe, lete ushahidi wa upuuzi wako huu!!

17. L

Lua JF-Expert Member

#17
Sep 2, 2011
Joined: May 19, 2011
Messages: 704
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
au ndio ule msemo 'ndondondo si chululu'

18. Maishamapya

Maishamapya JF-Expert Member

#18
Sep 2, 2011
Joined: Nov 3, 2010
Messages: 1,280
Likes Received: 1
Trophy Points: 135
Hii ni hoja komavu mkuu.Asante.

Tuache cheap politics, naamini Kafulira ni mmpja wa wanasiasa wenye mvuto na ambao wako tayari kulipa gharama kwa kile wanachikiamini. Amelipia gharama akiwa CDM (akafukuzwa) na amelipia gharama bungeni (akatolewa nje). Sisemi hiki ndicho kipimo ninachosema ni kuwa ni mwanasiasa mwenye uthubutu. Ni kweli NCCR inatweta, na kosa walilolifanya (nadhani) ni kuendeleza malumbano na CDM baada ya uchaguzi. Walichotakiwa ni kuzika tofauti hizo na kuunganisha nguvu zao.

19. nditolo

nditolo JF-Expert Member

#19
Sep 2, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 1,335
Likes Received: 300
Trophy Points: 180
Kifupi Kafulira kilichomuokoa ni mkoa wa Kigoma ambao watu wa huko wameichoka ccm na hivyo kuwa tayari kuchagua mbunge yeyote ambaye si wa ccm. Lakini shida anayopata ni kubwa mno huko nccr sababu alikurupuka kuondoka CDM na hiyo imeendelea kumcost hata bungeni, alijitaidi kutafuta company kwa hamad rashid cuf akakuta ndo ameoza kabisa hana uwezo wowote hata wa kujenga hoja. NCCR uozo uko kwa mwenyekiti wao Mbatia yeye ni kama malaya ambaye hana staha, anweza kuropoka lolote kuhusu vyama vya upinzani ili tu avidhoofishe na aipaishe ccm. Mshaurini Kafulira atubu ili arudi CDM hiyo itamsaidia.

20. George Kahangwa

George Kahangwa Verified User

#20
Sep 3, 2011
Joined: Oct 18, 2007
Messages: 539
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
Ahsante sana Mkuu. Pongezi Mzee Rungwe na Ndugu yangu Kafulila, nafurahi kusikia mko kazini. Songa mbele

Loading...