Mkuu ingia website ya Etihad na Ethiopian Airways then check bei kwa tarehe utakazo. Kuna Emirates pia ila it's a bit expensive compared na hizo nyingineW akuu habarini za saahizi?
mimi sio muongeaji sana ngoja niende kwenye swali direct
kama headline inavyo someka naomba kufahamu nauli ya ndege kutoka Dar-es-saalam to seoul, south korea - Go and return na jinsi ya kupata visa na passport
maana nataka kwenda kufanya matembezi ya mwezi mmoja huko seoul sasa nataka kuweka vitu sawa kama (budget ) nk.
natumai humu JF kuna wafanyakazi wa Airport wanaweza nisaidia swali langu kwa manufaa ya wengi.
nawasilisha kwa majibu ya swali langu
Emirates wako vizuri kwa Seoul mkuu, kule ndege inaingia jioni kama 5pm hivi halafu unaruka na lile dude A380 unachati kabisa ukiwa sngani futi 30,000. Ndege ilikua inatoka Seoul usiku saa sita. Nauli zamani economy ilikua 3,700,000 na business 5,500,000 wanayo hadi first class nadhani nauli yake ni kama 10M. Mleta mada ukifika Seoul tufahamishane.Mkuu ingia website ya Etihad na Ethiopian Airways then check bei kwa tarehe utakazo. Kuna Emirates pia ila it's a bit expensive compared na hizo nyingine
Mbona hela kidogo tu, vizia ATCL inaondoka tarehe 17 kwenda Mumbay, ukifika huko fanya booking ya Qantas, ukikwamba Ndandia MOCBHA utapia SoCH kupata baridi kidogo then unashuka Seoul.Kwa ufupi andaa bajeti ya kuanzia milioni 20, ukiwa tayari tuwasiliane yupo mjomba wangu ni mfugaji mzuri wa kiti moto huko Li-ting-Seuol.W akuu habarini za saahizi?
mimi sio muongeaji sana ngoja niende kwenye swali direct
kama headline inavyo someka naomba kufahamu nauli ya ndege kutoka Dar-es-saalam to seoul, south korea - Go and return na jinsi ya kupata visa na passport
maana nataka kwenda kufanya matembezi ya mwezi mmoja huko seoul sasa nataka kuweka vitu sawa kama (budget ) nk.
natumai humu JF kuna wafanyakazi wa Airport wanaweza nisaidia swali langu kwa manufaa ya wengi.
nawasilisha kwa majibu ya swali langu
mkuu umesema niandae M20 kwa ajili ya nauli2 au budget ya kwenda na kurudi pamoja na mambo mengine?Mbona hela kidogo tu, vizia ATCL inaondoka tarehe 17 kwenda Mumbay, ukifika huko fanya booking ya Qantas, ukikwamba Ndandia MOCBHA utapia SoCH kupata baridi kidogo then unashuka Seoul.Kwa ufupi andaa bajeti ya kuanzia milioni 20, ukiwa tayari tuwasiliane yupo mjomba wangu ni mfugaji mzuri wa kiti moto huko Li-ting-Seuol.
Acha ushamba.Series za Korea zinaendelea kuharibu watu
Kwanini likizo usiende kijijini kwenu?