Wakuu, nauli ya kutoka Dar es salaam mpaka Seoul,South Korea yaweza kuwa ni kiasi gani?

Sultan S. Abdallah

Verified Member
Dec 21, 2017
2,255
2,000
W akuu habarini za saahizi?
mimi sio muongeaji sana ngoja niende kwenye swali direct
kama headline inavyo someka naomba kufahamu nauli ya ndege kutoka Dar-es-saalam to seoul, south korea - Go and return na jinsi ya kupata visa na passport
maana nataka kwenda kufanya matembezi ya mwezi mmoja huko seoul sasa nataka kuweka vitu sawa kama (budget ) nk.
natumai humu JF kuna wafanyakazi wa Airport wanaweza nisaidia swali langu kwa manufaa ya wengi.
nawasilisha kwa majibu ya swali langu
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,848
2,000
Nauli inatofautiana kwa kila shirika. Kwa mfano Turkish airways ipo chini ukilinganisha na KLM. Pia inategemea na muda ambao unafanya booking
 
nerilan

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
228
250
W akuu habarini za saahizi?
mimi sio muongeaji sana ngoja niende kwenye swali direct
kama headline inavyo someka naomba kufahamu nauli ya ndege kutoka Dar-es-saalam to seoul, south korea - Go and return na jinsi ya kupata visa na passport
maana nataka kwenda kufanya matembezi ya mwezi mmoja huko seoul sasa nataka kuweka vitu sawa kama (budget ) nk.
natumai humu JF kuna wafanyakazi wa Airport wanaweza nisaidia swali langu kwa manufaa ya wengi.
nawasilisha kwa majibu ya swali langu
Mkuu ingia website ya Etihad na Ethiopian Airways then check bei kwa tarehe utakazo. Kuna Emirates pia ila it's a bit expensive compared na hizo nyingine
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,567
2,000
Mkuu ingia website ya Etihad na Ethiopian Airways then check bei kwa tarehe utakazo. Kuna Emirates pia ila it's a bit expensive compared na hizo nyingine
Emirates wako vizuri kwa Seoul mkuu, kule ndege inaingia jioni kama 5pm hivi halafu unaruka na lile dude A380 unachati kabisa ukiwa sngani futi 30,000. Ndege ilikua inatoka Seoul usiku saa sita. Nauli zamani economy ilikua 3,700,000 na business 5,500,000 wanayo hadi first class nadhani nauli yake ni kama 10M. Mleta mada ukifika Seoul tufahamishane.
 
Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,078
2,000
W akuu habarini za saahizi?
mimi sio muongeaji sana ngoja niende kwenye swali direct
kama headline inavyo someka naomba kufahamu nauli ya ndege kutoka Dar-es-saalam to seoul, south korea - Go and return na jinsi ya kupata visa na passport
maana nataka kwenda kufanya matembezi ya mwezi mmoja huko seoul sasa nataka kuweka vitu sawa kama (budget ) nk.
natumai humu JF kuna wafanyakazi wa Airport wanaweza nisaidia swali langu kwa manufaa ya wengi.
nawasilisha kwa majibu ya swali langu
Mbona hela kidogo tu, vizia ATCL inaondoka tarehe 17 kwenda Mumbay, ukifika huko fanya booking ya Qantas, ukikwamba Ndandia MOCBHA utapia SoCH kupata baridi kidogo then unashuka Seoul.Kwa ufupi andaa bajeti ya kuanzia milioni 20, ukiwa tayari tuwasiliane yupo mjomba wangu ni mfugaji mzuri wa kiti moto huko Li-ting-Seuol.
 
Sultan S. Abdallah

Verified Member
Dec 21, 2017
2,255
2,000
Mbona hela kidogo tu, vizia ATCL inaondoka tarehe 17 kwenda Mumbay, ukifika huko fanya booking ya Qantas, ukikwamba Ndandia MOCBHA utapia SoCH kupata baridi kidogo then unashuka Seoul.Kwa ufupi andaa bajeti ya kuanzia milioni 20, ukiwa tayari tuwasiliane yupo mjomba wangu ni mfugaji mzuri wa kiti moto huko Li-ting-Seuol.
mkuu umesema niandae M20 kwa ajili ya nauli2 au budget ya kwenda na kurudi pamoja na mambo mengine?
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
21,339
2,000
Yangu Machache Tu Kwenye Hii Thread
Nakutakia Maandalizi Ya Safari Mema Pia Safari Iwe Njema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom