Wakuu natafuta hii gari

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Jamani eeh...mim hii gar kwa wakat huu ndo my dream car...nataka niipate nii pimp kiwe convertable...yaan naipenda hii gar jaman

Anaejua napoweza pata kwa bei nzur na hali nzur....sjui nikaweke engene gan haka

Ushaur wenu wakuu...

Uzi tayar
images%20-%202021-09-07T212709.994.jpg
 
Ichi kigari ninakionaga daily apa home Mbezi beach tangi bovu kuna yankee fulani anakiendesha sema ni vile its kinda of rustyyy at very first time nilifikiri anaendelea kukifanyia refurbish ila now i think hes kinda of funny guy!
Hata mi kuna kengne nakaona sana njia ya rainbow huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom