Wakuu naombeni ushauri juu ya course ya Environmental Engineering

Dogo UDOM wameanzisha EE 2016, Ardhi EE ipo tangu miaka ya 90.

EE ya ardhi miaka 4, EE ya UDOM miaka 3.

Vitu vingi UDOM hawasomi mfano mambo ya workshop hawana wale jamaa.
Una uhakika na unachosema?Jalibu kuthibitisha hata kidogo tu.isije kuwa issue ya kupigia debe chuo fulani!!!
 
Back
Top Bottom