jombi95
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,405
- 2,187
Nishalinote Jina lako kama umechaguliwa Coet unaliwa kichwa semester 1 tuu .We jombi tulia ww ujui chochote boya ww
Nishalinote Jina lako kama umechaguliwa Coet unaliwa kichwa semester 1 tuu .We jombi tulia ww ujui chochote boya ww
Hahhaa you are such a fool kijana... Am not kind of person you think. Watch me... And note my nameNishalinote Jina lako kama umechaguliwa Coet unaliwa kichwa semester 1 tuu .
Umechagulia EE ya wapi, Ardhi au UDOM?
Environmental Engineering, EE ni course nzuri sana...mkuu hii naongea kutokana na Experience niliyo nayo juu ya hii course
Hawa watu ajira zao zipo serikalini na private sector nitatolea mfano ni tasisi zipi za serikali unaweza kufanya kazi
1. Idara za maji zote kama mhandisi wa maji au sewerage Engineer
2. Halmashauri kama Envirnmental Officer
3. Migodini kama environmental officer
4. Government Chemist Laboratory Authority, GCLA utafanya kazi kama Chemistry
5. Mhumbili Hospital kama environmental officer hapa utadeal na mambo ya solid and hazardous waste disposal
6. Tanzania Building Agency, hapa wanafanya kazi nyingi mfano miradi Environmental Impact Assesment, EIA. Pia kuna mambo ya building seŕvices
7. Tanzania Industrial Research and Development Organization, TIRDO. Hapa unaweza fanya kazi kama assistance reseaecher kama una master katika division za energy nk.
Sector binafsi au private company
1. Viwandani though sio vyote inategemea na kiwanda kinahusika na kitu gan! Hapa utaweza fanya kazi kama water treatment Engineer.
2. Kampuni za ujenzi wa majengo, miradi ya barabara na miradi ya maji
3. Kampuni za migodi, kama Environmental Officer
4. Dealer wa pump mbalimbali za maji nk, mfano wa kampuni ni Davis and shirtlift , utafanya kazi kama sales Engineer
5. USAID. Wana miradi mingi sana ya maji
6. NGO's zinahusika na project za WASH, utafanya kazi kama WASH Officer
NB: Kama umechagulia EE ya Ardhi mimo nakushauri nenda, ukisema uende civil utajikuta mkimaliza unakuja kufanya kazi na watu wa EE tena position moja. Nakushauri baki ulipo hutokuja kujuta
Mtu wa Environmental science hawezi fanya kazi za Environmental Engineer, kwa maana nyingine mmoja ni mhandisi wa mazingira mwingine ni mwanasayansi wa mazingiraSasa kaka tofauti kati ya environmental science na environmental engineering ni ipi
Kigezo ni uwe umesoma advanced physics na advanced maths. Kama kama kwenye cbg unasoma hayo masomo basi unaweza soma env engineering otherwise kasome env science.Wakuu kuna mtu anauliza vipi mtu aliye soma CBG anaweza kusoma EE...?
Sawa mkuuKigezo ni uwe umesoma advanced physics na advanced maths. Kama kama kwenye cbg unasoma hayo masomo basi unaweza soma env engineering otherwise kasome env science.
Sawa mkuuJibu ni ndio
Dogo tulia acha shombo usibishane nama-lecture wako humu.We jombi tulia ww ujui chochote boya ww
Acha uongo, hakuna Kozi ya Engineering ya miaka mi3 kwa mujibu wa muongozo wa TCU. EE Udom ni miaka mi4 na benchmarking ya kozi ya EE iliyoanza UDOM mwaka 2015 imerandana na ya Ardhi kwa zaidi ya 90% na kama sikosei kuna wahadhiri wengi wa Ardhi wanaofanya part-time lecturing pale UDOM (I stand to be corrected). Kuhusu Workshops si anaweza kujifunza wakati wa field akiwa attached sehemu kama VETA?Dogo UDOM wameanzisha EE 2016, Ardhi EE ipo tangu miaka ya 90.
EE ya ardhi miaka 4, EE ya UDOM miaka 3.
Vitu vingi UDOM hawasomi mfano mambo ya workshop hawana wale jamaa.
Usipoteze muda wako utafeli mwaka wa kwanza tu. Soma Environmental Science (ES). Bila kuwa na basics za physics ya advance utapata tabu sana. PCB yes but not CBGwakuu CBG anaweza kusoma Enviromental Egeneering
hakuna linaloshindikana as longer unapambana hakuna kigumuUsipoteze muda wako utafeli mwaka wa kwanza tu. Soma Environmental Science (ES). Bila kuwa na basics za physics ya advance utapata tabu sana. PCB yes but not CBG
hakuna linaloshindikana as longer unapambana hakuna kigumu
unasoma EEI don't think kama CBG ana-qualify EE. So don't waste your time with it
Surveyor yupi? Quantity surveyor au land surveyor kama land surveyor usimdanganye land survey ni pana kuliko unavyofikiria wengi wenu mnadhani land survey ni levelling na setting out.Pia kwa manufaa zaidi, ukisoma E.E unaweza ukaajiriwa kama
1)Surveyor
2)Water Engineer
3) Una uwezo wa kufanya baadhi ya kazi za civil engineer
4)Environmental Impact Assesment - Hakuna project kubwa yoyote mfano ujenzi wa barabara au majengo ambayo haimuhusishi Environmental Engineer.
Yani kuna mambo mengi sana mpaka naoana uvivu kuyaandika yote , kwa maelezo zaidi njoo PM.
Hapana Mimi muhenga, nipo ofisi inayohusiana sana na mambo hayaunasoma EE
kuna dogo ndio kachaguliwa pale udom EE.....ukiachana na changamoto zake za hii kozii vp graduate wake kwenye soko la ajiraHapana Mimi muhenga, nipo ofisi inayohusiana sana na mambo haya