Generaljow
Member
- Sep 10, 2018
- 16
- 0
- Thread starter
- #21
Me nimechaguliwa Aru EE mkuuEE , UDOM pia ipo, imeanzishwa tangu 2016, nenda ardhi ukasome EE achana na EE ya UDOM.
Me nimechaguliwa Aru EE mkuuEE , UDOM pia ipo, imeanzishwa tangu 2016, nenda ardhi ukasome EE achana na EE ya UDOM.
Ndiyo, tena vipo vingi sana .So vitu anavyo soma civil pia EE na yy anavisoma baadhi...?
Y not Udom mkuu au experience ya koz katika chuo ..?Me nimechaguliwa Aru EE mkuu
Poa karibu ardhi dogo.Me nimechaguliwa Aru EE mkuu
Shukran sana wewe upo koz gani hapo..?Poa karibu ardhi dogo.
Nitumie namba zako PM .
Dogo UDOM wameanzisha EE 2016, Ardhi EE ipo tangu miaka ya 90.Y not Udom mkuu au experience ya koz katika chuo ..?
Mfanyakazi.Shukran sana wewe upo koz gani hapo..?
Aaah sawa sawaMfanyakazi.
Sawa kijana ,umesha confirm?Aaah sawa sawa
Ndio nimesha confirmSawa kijana ,umesha confirm?
Nimesha Ku PM.Ndio nimesha confirm
Naona najaribu kutuma PM inasumbua can u txt me
Unaijua hii course kiundani au umesikia juujuu??Write your reply...mkuu iyo ya kisenge kwa upande wa ajira Nami nimechaguliwa pale udom ila siend naenda kupiga civil kapige utaona unavyo hustle kazi utadhn umelogwa kumbe cozi ulyipiga
Umechagulia EE ya wapi, Ardhi au UDOM?Ushauri wenu juu ya course hiyo
Mkuu shukran sana maana nimechaguliwa ardhi lkn nilikuwa nawaza kuhama kozUmechagulia EE ya wapi, Ardhi au UDOM?
Environmental Engineering, EE ni course nzuri sana...mkuu hii naongea kutokana na Experience niliyo nayo juu ya hii course
Hawa watu ajira zao zipo serikalini na private sector nitatolea mfano ni tasisi zipi za serikali unaweza kufanya kazi
1. Idara za maji zote kama mhandisi wa maji au sewerage Engineer
2. Halmashauri kama Envirnmental Officer
3. Migodini kama environmental officer
4. Government Chemist Laboratory Authority, GCLA utafanya kazi kama Chemistry
5. Mhumbili Hospital kama environmental officer hapa utadeal na mambo ya solid and hazardous waste disposal
6. Tanzania Building Agency, hapa wanafanya kazi nyingi mfano miradi Environmental Impact Assesment, EIA. Pia kuna mambo ya building seŕvices
7. Tanzania Industrial Research and Development Organization, TIRDO. Hapa unaweza fanya kazi kama assistance reseaecher kama una master katika division za energy nk.
Sector binafsi au private company
1. Viwandani though sio vyote inategemea na kiwanda kinahusika na kitu gan! Hapa utaweza fanya kazi kama water treatment Engineer.
2. Kampuni za ujenzi wa majengo, miradi ya barabara na miradi ya maji
3. Kampuni za migodi, kama Environmental Officer
4. Dealer wa pump mbalimbali za maji nk, mfano wa kampuni ni Davis and shirtlift , utafanya kazi kama sales Engineer
5. USAID. Wana miradi mingi sana ya maji
6. NGO's zinahusika na project za WASH, utafanya kazi kama WASH Officer
NB: Kama umechagulia EE ya Ardhi mimo nakushauri nenda, ukisema uende civil utajikuta mkimaliza unakuja kufanya kazi na watu wa EE tena position moja. Nakushauri baki ulipo hutokuja kujuta
Hayo mambo ya env engineer kuwa civil au water resource engineer yalikua zamani, siku hizi kuna graduate wa water engineering wengi tu!! Na hata batch ya kazin hamna env engineer au civil aliyechaguliwa kwenye maji!! (naongelea serikalini...)Pia kwa manufaa zaidi, ukisoma E.E unaweza ukaajiriwa kama
1)Surveyor
2)Water Engineer
3) Una uwezo wa kufanya baadhi ya kazi za civil engineer
4)Environmental Impact Assesment - Hakuna project kubwa yoyote mfano ujenzi wa barabara au majengo ambayo haimuhusishi Environmental Engineer.
Yani kuna mambo mengi sana mpaka naoana uvivu kuyaandika yote , kwa maelezo zaidi njoo PM.
Hiyo itakua sio environmental engineering, itakua env science.Dogo UDOM wameanzisha EE 2016, Ardhi EE ipo tangu miaka ya 90.
EE ya ardhi miaka 4, EE ya UDOM miaka 3.
Vitu vingi UDOM hawasomi mfano mambo ya workshop hawana wale jamaa.
Wewe dogo ni mpumbavu .Write your reply...mkuu iyo ya kisenge kwa upande wa ajira Nami nimechaguliwa pale udom ila siend naenda kupiga civil kapige utaona unavyo hustle kazi utadhn umelogwa kumbe cozi ulyipiga
Wewe dogo ni mpumbavu .
Nyie watoto hivi nani anawamezesha sumu huko nje.
Wewe ndo kwanza unaanza first year afu unajifanya mjuaji hivi .blaaarifuuuuu
We jombi tulia ww ujui chochote boya wwWewe dogo ni mpumbavu .
Nyie watoto hivi nani anawamezesha sumu huko nje.
Wewe ndo kwanza unaanza first year afu unajifanya mjuaji hivi .blaaarifuuuuu
Hahaa et NjukaWewe njuka ambaye hata U.E moja hujafanya acha dharau.
Hapo ulipo bado unanuka harufu ya kisekondari sekondari.