wakuu heshima kwenu,simu yangu nokia e63 imegoma kufungua sms zote zinazoingia(inbox) pia hata nikiataka kuandika sms mpya nikiclick ile sehemu ya new sms inarudi kwenye home page! Tafadhalini wataalamu naomben msaada!

Kwanza inaonyesha virus wameshaivamia.
Ebu izime kisha chomoa line kwa dk 30,baada ya hapo irudishe line kisha washa na ujaribu tena....kama itaendelea kuzingua na kama uko Dar nenda pale uhuru k,koo wanapouza makapeti kapeti,kuna fundi simu pale yuko very honestly.
Office yake imeandikwa phone dr kama sikosei jina nimemsahau.Ataflash kwa 20,000.
chai chungu nimejaribu nilijaribu kutoa line ya tgo nikaweka airtel still tatzo lipo palepale! Mm nipo arusha kaka! Kwa hyo kuna uwezekano mkubwa ikawa ni virus ndo wameshambulia simu yangu?
tumlack nilijaribu kurestore factory setting lakini mtumiaji wa kwanza alibadilisha zile 12345 akaweka za kwake! So napata wakati mgumu kaka kupata lock code mpya! Je kuna njia yoyote naweza pata hizo lock code mpya? Msaada kiongozi!