Wakuu naombeni msaada kidogo

Wakuu naombeni msaada kidogo

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Wakuu habari ya jumamosi,

Nawasalimu wote na naamin mu wazima wa afya. Naomba kuulIza yeyote anayejua mahala kuna studio ya Muzik ambayo gharama zake ni friendly yani kwa upcoming anijulishe tafadhali.
.
Natanguliza asante
 
Muwe mnasema mliko njoo mwanza T VOLL STUDIO. Zipo nyingi hadi 20 000kwa singo
 
Muwe mnasema mliko njoo mwanza T VOLL STUDIO. Zipo nyingi hadi 20 000kwa singo

Nashukuru sana mkuu ila mimi nipo DSM huku ila nshukuru naweza nikaja mwanza mwezi wa kumi naweza kutafuta pia na huko ila sasa DSM
 
nenda kinondoni pale maeneo ya morocco, upande wa kulia kama unaelekea magomen kuna studio pale ina backyard naskia wanatoa kitu quality halafu bei nafuu
 
nenda kinondoni pale maeneo ya morocco, upande wa kulia kama unaelekea magomen kuna studio pale ina backyard naskia wanatoa kitu quality halafu bei nafuu

Morocco hotel ama kole Morocco airtel house?
 
Nenda Makonera Records,nafikiria wapo Kigamboni.
Ungekuwa Zanzibar basi Jupiter Records wapo vizuri kwa underground wenye kujiweza.
 
Back
Top Bottom