Nyumban sijaufanyia kazi mkuu akili yangu baada ya kuwazua ndo nkaamua icho mana home tuko wawil mim na siter na asaiv yeye ndo mwenye pesa ushauri wake umekaa kiugandamizo flana na nikifuata kutoka kwangu ni ngum mno so sikufuata kbsPole Sana. Natamani kusikia Kama umeufanyia kazi ushauri uliyopewa nyumbani Kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wew kbs nimekuwa mkatili kiasi kwamba kuna tym naona kbs alaf stil najiuliza nimm yule nilikuwa soft heartedDogo ungejua watu mambo tuliyopitia na mpk leo unatuona tupo humu ndani wala usingekata tamaa....nmepitia mambo magumu sn nikiwa bado kijana kbs tena ndio kwanza nilikuwa nmeanza maisha nlishafikiria mpk kufa lkn nashukuru ndugu haswa mama yangu na marafiki wa karibu walikuwa namm karibu sana bt here i am today. Changamoto nilizopitia zimenifanya niwe mtu mwingine kbs leo
Habari waku Bila ya kupoteza Wakti naomb ni dumbukie kwenye mada
Mim Ni Kijana early 20's kwa sasa, 2016 Nilikutana na Mnyaturu mmoja tulipendana kwel kwel nilienjoy hasa hana shida yeyote sema tu nilimpanga kama mungu akijalia nilitaka aende shule akaongeze elimu mana sometym hata msg ilikuwa noma kuandika sema kwa vile ana mapenz sikuona shida nilivumilia,Nilikuwa na kaz yangu mungu akanisaidia nikapata eneo la kujishikiza mim na mama angu mzazi (my own money).... Basi nikamshirikisha na huyu bibie nikamwambia kama kazi zikienda sawa utaenda shule uku nafight nianze kujenga mana mama alikuwa na mshiko wake kwenye acc so mim nilitakiwa kudunduliza ili nieke yang pemben mana eneo lilikuwa sio la kitoto....
Sijui kama nakosea au Laaaah lakin nikipata mawaza mawil matatu itanifungua akili mana nina stress na nimefikia atua mby naweza enda kunywa ata mzingi mmoja wa Nyagi ili angalau nipate lepe la usingi lakin sipend kufanya hivyo na sion kama ni sifa lakin nafanyaje mtaani wananiona tu hakuna anajua ninachopitia na wala siwez kuwashirikisha mattz yangu mana masnitch ni weng kuliongelea ttz hapa naona inahitaji siku yake ni historia tena
Polen kwa Gazetiiii
HahahahaWewe ukikua utamkimbia mke na watoto kwa ajili ya ukata.
Dogo kaza butii....
Oa huyo, tia mimba utashangaa mambo yanabadilikaa....
Unajua ukishakuwa na majukumu, unakuwa chizi flani hv, kazi yoyote unapiga unashangaa mambo yananyookaa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wew kbs nimekuwa mkatili kiasi kwamba kuna tym naona kbs alaf stil najiuliza nimm yule nilikuwa soft heartedDogo ungejua watu mambo tuliyopitia na mpk leo unatuona tupo humu ndani wala usingekata tamaa....nmepitia mambo magumu sn nikiwa bado kijana kbs tena ndio kwanza nilikuwa nmeanza maisha nlishafikiria mpk kufa lkn nashukuru ndugu haswa mama yangu na marafiki wa karibu walikuwa namm karibu sana bt here i am today. Changamoto nilizopitia zimenifanya niwe mtu mwingine kbs leo
Hahahhahjirani nakuona pia, kanda ya kati imekupenda huko inaelekea kuna asali na maziwa.