Wakuu Naomben Ushauri Nipo Dilema Ushauri wenu utaniokoa sana

Karimu123

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
244
250
Habari waku Bila ya kupoteza Wakti naomb ni dumbukie kwenye mada

Mim Ni Kijana early 20's kwa sasa, 2016 Nilikutana na Mnyaturu mmoja tulipendana kwel kwel nilienjoy hasa hana shida yeyote sema tu nilimpanga kama mungu akijalia nilitaka aende shule akaongeze elimu mana sometym hata msg ilikuwa noma kuandika sema kwa vile ana mapenz sikuona shida nilivumilia,Nilikuwa na kaz yangu mungu akanisaidia nikapata eneo la kujishikiza mim na mama angu mzazi (my own money).... Basi nikamshirikisha na huyu bibie nikamwambia kama kazi zikienda sawa utaenda shule uku nafight nianze kujenga mana mama alikuwa na mshiko wake kwenye acc so mim nilitakiwa kudunduliza ili nieke yang pemben mana eneo lilikuwa sio la kitoto....

To cut the story shot 2018 mambo yangu yakabadilika (shauri ya ndugu) sana yani nilipata tragedy.Nimeita tragedy mana imepindua maisha yangu Upset down hata kile nilikipata nacho kikasepa sasa mbaya zaid niko disparate na mattz yangu kuliko mwenzangu na stil nampenda lakin kutokana na hali sina kaz wala chochote nachofanya na huyu bint ni mgonjwa na keshafanyiwa operation ya kizazi nataman sana kumuhudumia lakin nawaza naanzaje na hali yangu jinsi ilivyo,Siku moja nikaongea na huyu dada kama vip tuachana apate mtu best kuliko mim mana mim stil nina safari ndefu mno adi mambo yangu yakae mana alinidokezea daktari alimwambia anatakiwa azae kabla miaka mitatu haijaisha lasivyo wataka mirija ya upande wa pil mana keshakatwa mmoja tayari.Sasa nikamwambia ukizaa asaiv maisha yatakuwaje mana hali halisi ndo hii nikamwambia hii kitu haitawezakan mana uku ni kutesana akasema haina neno tutafight ananiamin sana sijui kwanin.Basi kuna kipind nikasitisha kabs kumuona nikasepa nikaenda njia ya vumbi uko (Watu wa chuga watakuwa wamenielewa ni Babati)mana mambo yalichamama ilinibidi kusepa nikapata peace of nijue naanzaje kujikwamua nianze upya sasa mwenzangu sikumwambia ukwel mana sikutaka apate wasiwasi kufika kule kelele zikawa nying nikaona ni bora tena ningukuwa Chuga tu mana hakuna afadhal shauri ya stress nikajiingiza kwenye ulevi wa pombe mambo yakawa moto kwel kwel home wakatapa taarifa na mnyaturu akapata nikaitwa lakin sikuja tuliongea tu kwenye simu wakaongea lakin mim ata basi nikaona nirud lakin nilirudi na akil zangu mpya sio za ulevi....

Nilitaka kumuacha huyu mwanamke kbs mana namtesa tu bure na sitaka ateseke kwa mattzo yangu she deserve better,Niliamua kuanza hustle upya ila njia sio rahisi nikachek na wadau kuna watu nilikuwa nao before na wamekubal kunisupport la mwisho kbs Natak nikasome mana nina chet ya four iko tu ndan natak niende Clinical Medicine (3yrs) sasa kumpack mtoto wa watu naona ntakuwa nabeba kitu nsikiweza kbs..

Shida mahal ilipo bint sijamwambia na nimepata taarifa kuwa ni mgonjwa nawaza ata kumwambia lakin naona ntamuuua na tulikaa kipind kirefu hatukuongea mana nilitaka anagalau anisahau tuwez kumove on wote kwa Amani

Sijui kama nakosea au Laaaah lakin nikipata mawaza mawil matatu itanifungua akili mana nina stress na nimefikia atua mby naweza enda kunywa ata mzingi mmoja wa Nyagi ili angalau nipate lepe la usingi lakin sipend kufanya hivyo na sion kama ni sifa lakin nafanyaje mtaani wananiona tu hakuna anajua ninachopitia na wala siwez kuwashirikisha mattz yangu mana masnitch ni weng kuliongelea ttz hapa naona inahitaji siku yake ni historia tena

Polen kwa Gazetiiii
 
Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
1,912
2,000
Pole sana mkuu, very touching but usife moyo try your best kama unampenda mwambie wazi maana unavyofanya anahisi unamtenga sababu ya ugonjwa wake. A real man never run from his problems, try your level best mkuu.. Utatoka tu but kama inawezekana us8muache huyo mtu utamtesa mno maana naona kabisa wewe ndo kimbilio lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,629
2,000
Dogo ungejua watu mambo tuliyopitia na mpk leo unatuona tupo humu ndani wala usingekata tamaa....nmepitia mambo magumu sn nikiwa bado kijana kbs tena ndio kwanza nilikuwa nmeanza maisha nlishafikiria mpk kufa lkn nashukuru ndugu haswa mama yangu na marafiki wa karibu walikuwa namm karibu sana bt here i am today. Changamoto nilizopitia zimenifanya niwe mtu mwingine kbs leo
 
Karimu123

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
244
250
Pole Sana. Natamani kusikia Kama umeufanyia kazi ushauri uliyopewa nyumbani Kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumban sijaufanyia kazi mkuu akili yangu baada ya kuwazua ndo nkaamua icho mana home tuko wawil mim na siter na asaiv yeye ndo mwenye pesa ushauri wake umekaa kiugandamizo flana na nikifuata kutoka kwangu ni ngum mno so sikufuata kbs
 
Karimu123

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
244
250
Dogo ungejua watu mambo tuliyopitia na mpk leo unatuona tupo humu ndani wala usingekata tamaa....nmepitia mambo magumu sn nikiwa bado kijana kbs tena ndio kwanza nilikuwa nmeanza maisha nlishafikiria mpk kufa lkn nashukuru ndugu haswa mama yangu na marafiki wa karibu walikuwa namm karibu sana bt here i am today. Changamoto nilizopitia zimenifanya niwe mtu mwingine kbs leo
Nakubaliana na wew kbs nimekuwa mkatili kiasi kwamba kuna tym naona kbs alaf stil najiuliza nimm yule nilikuwa soft hearted
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,996
2,000
Habari waku Bila ya kupoteza Wakti naomb ni dumbukie kwenye mada

Mim Ni Kijana early 20's kwa sasa, 2016 Nilikutana na Mnyaturu mmoja tulipendana kwel kwel nilienjoy hasa hana shida yeyote sema tu nilimpanga kama mungu akijalia nilitaka aende shule akaongeze elimu mana sometym hata msg ilikuwa noma kuandika sema kwa vile ana mapenz sikuona shida nilivumilia,Nilikuwa na kaz yangu mungu akanisaidia nikapata eneo la kujishikiza mim na mama angu mzazi (my own money).... Basi nikamshirikisha na huyu bibie nikamwambia kama kazi zikienda sawa utaenda shule uku nafight nianze kujenga mana mama alikuwa na mshiko wake kwenye acc so mim nilitakiwa kudunduliza ili nieke yang pemben mana eneo lilikuwa sio la kitoto....

Sijui kama nakosea au Laaaah lakin nikipata mawaza mawil matatu itanifungua akili mana nina stress na nimefikia atua mby naweza enda kunywa ata mzingi mmoja wa Nyagi ili angalau nipate lepe la usingi lakin sipend kufanya hivyo na sion kama ni sifa lakin nafanyaje mtaani wananiona tu hakuna anajua ninachopitia na wala siwez kuwashirikisha mattz yangu mana masnitch ni weng kuliongelea ttz hapa naona inahitaji siku yake ni historia tena

Polen kwa Gazetiiii
Kama unasema yeye anatakiwa kuongeza elimu kwa sababu hata kuandika ni shida, naweza kuimagine. Kwa sababu kama wewe ndo hivi!

a) Jitahidi ujue namna ya kujieleza vizuri. Kama kuna watu wanahitaji kukusaidia jitahidi pia usaidike ili ujikwamue.
b) Issue yako na huyo dada ni ngumu, ila kukimbia sio suluhisho. Kama ni kutafuta a better man, hayo ni maamuzi yake na sio yako. We ukipendwa pendeka. Unaeza kwenda kutafuta hela ukapata na usije kupata mwanamke kama huyo kamwe. Kuna watu ni wema na wana hela sana lakini wanapata mwenzi hasara hujwah ona.
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
11,003
2,000
Nakuuliza swali moja fikirishi Je kama ungekuwa umemuoa tayari na umepata hayo matatizo ungempa talaka? Kama moyoni mwako umesema ndio au hapana basi shikilia jibu lako
 
Karimu123

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
244
250
Dogo ungejua watu mambo tuliyopitia na mpk leo unatuona tupo humu ndani wala usingekata tamaa....nmepitia mambo magumu sn nikiwa bado kijana kbs tena ndio kwanza nilikuwa nmeanza maisha nlishafikiria mpk kufa lkn nashukuru ndugu haswa mama yangu na marafiki wa karibu walikuwa namm karibu sana bt here i am today. Changamoto nilizopitia zimenifanya niwe mtu mwingine kbs leo
Nakubaliana na wew kbs nimekuwa mkatili kiasi kwamba kuna tym naona kbs alaf stil najiuliza nimm yule nilikuwa soft hearted
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom