Wakuu naomba mwenye dua ya Novena anisadie

IMG_2512.png

nina Pdf sijui nakutumiaje
 
Nakupa hii andika majina ya wote waliokwenye hilo jambo wabaya na wazuri.
Funga siku 5 .hiyo hela ya kula mchana uwe unaihifadhi .
Kila siku weka alarm saa 9 amka sali hivi
1.imba nyimbo ya kumsifu mungu dakika 5 hadi 10
2.fanya toba
3.ombea kwa kuzitaja shida za wengine wawili hasa majirani zako.
4.lirudie jambo lako ukiisoma list ya wote wahusika
5.mshukuru mungu kwa kukujibu maombi.

Siku ya tano mchana au jioni beba hela yako ya lunchi ya siku 5 na unaweza ongezea .nenda kampe mama mjane wa kweli au kanunue sukari peleka kituo yatima .

Napenda kukuhakikishia kwa hizi shida zs sijui kazini sijui kesi mahakaman yaani watu watakuona mchawi ulieshindikana .

NB Muda mzuri ni saa 9 hadi kumi
Assnte mkuu
 
1. Nini maana ya dua?
2. Nini maana ya novena?
MUNGU AWASAIDIE WATOKE HUKO GIZANI.NOVENA NI UPAGANI.NI MAOMBI NA IBADA ZA KIPAGANI HUKO ULAYA ZAMA HZO IKAINGIZWA NDANI YA KANISA.SOMENI BIBLIA MFATENI YESU.NOVENA NI SALA ZA KIPAGANI
 
MUNGU AWASAIDIE WATOKE HUKO GIZANI.NOVENA NI UPAGANI.NI MAOMBI NA IBADA ZA KIPAGANI HUKO ULAYA ZAMA HZO IKAINGIZWA NDANI YA KANISA.SOMENI BIBLIA MFATENI YESU.NOVENA NI SALA ZA KIPAGANI
Unaweza ku back up haya madai yako na ushahidi usio na shaka?
 
Back
Top Bottom