Wakuu naomba mtu yeyote anikopeshe 3mil

Mabumbe mkopo hutolewa kwa mtu au kampuni ambayo inajulikana kwa mkopeshaji. Nenda kwenye vyombo vya fedha ili waangalie business plan na viability of your project. Dhamana uliyotoa kibenki haipokeleki kwani haiuziki (not enforciable). Ni muhimu kufahamu kuwa benki zingi hazitoi fedha kwa start-up (miradi inayoanza ambayo haina historia)

asante,, lakn mkuu mm nataka kwa m2 binafsi coz cna kazi,,,
 
mimi mtum wa umma, mshr laki500, naweza kukupa laki laki kila mwezi

Sasa laki kwa mwaka si 1.2m? Kama upo tayari nakupa mil3 unarudisha 250k kwa mwezi na kiwanja unaweka bondi... Usipolipa michango mi3 consecutive kinakuwa changu na ukirudia mara mbili kutolipa kinakua changu,kama huko tayari ni-PM.
 
ina maana mpaka sasa hivi mdau hujapata mtu wa kukopesha M3? Hapa JF wamezidi masikhara hata hawajali tafuta njia nyingine ya kutatua shida yako.
 
Sasa laki kwa mwaka si 1.2m? Kama upo tayari nakupa mil3 unarudisha 250k kwa mwezi na kiwanja unaweka bondi... Usipolipa michango mi3 consecutive kinakuwa changu na ukirudia mara mbili kutolipa kinakua changu,kama huko tayari ni-PM.

nikupe laki 250 halafu nije nile kwako
 
  • Thanks
Reactions: amu

Mkuu unayeomba mkopo, hapa JF huwezi kupata huo mkopo..watz wengi waongo/wadhulumu ndiyo maana kukopeshana kishkaji mwisho wa siku inakuwa uadui kutokana na madeni..

Nenda kwenye institutions zinazotoa mikopo mathalan umejiandaa na kila kitu kinachohitajika kabla ya kuprocess mkopo..uwe mvumilivu tu na hiyo process ili wahakiki kila kitu before kukupatia fweza!
 
pole mkuu kama una dhamana nenda kwenye taasisi za mikopo na baadhi ya mabenki yenye riba nafuu unaweza kupata mkopo. Humu JF utapoteza muda wako tu kila mtu anajifanya mjuaji na analeta kejeli na maneno ya kukuvunja moyo

Umeona eeh? Yaani kama sio waelewa hawajui mtu anapokua serious
 
Mkuu unayeomba mkopo, hapa JF huwezi kupata huo mkopo..watz wengi waongo/wadhulumu ndiyo maana kukopeshana kishkaji mwisho wa siku inakuwa uadui kutokana na madeni..

Nenda kwenye institutions zinazotoa mikopo mathalan umejiandaa na kila kitu kinachohitajika kabla ya kuprocess mkopo..uwe mvumilivu tu na hiyo process ili wahakiki kila kitu before kukupatia fweza!

hapo umenena mimi mwenyewe kuna wana JF kama watatu nimeshawakopesha lakini mpaka leo mtu anakaa kimya sijui ustaarabu uko wapi kuna mmoja sasa mwaka hataki hata kupokea simu zangu na PM hajibu yaani mpaka mtu anajitengenezea uadui ni aibu sana
 
pole mkuu kama una dhamana nenda kwenye taasisi za mikopo na baadhi ya mabenki yenye riba nafuu unaweza kupata mkopo. Humu JF utapoteza muda wako tu kila mtu anajifanya mjuaji na analeta kejeli na maneno ya kukuvunja moyo

Nimekukubali, hakika wewe ndo great thinker tunaowatarajia kutoa ushauri humu. Mimi nilitarajia huyu bwana ataelimishwa njia nzuri na sahihi za kupata mkopo, badala yake naona hawa ma-GREAT SINKERS wanaingiza utani.
 
Back
Top Bottom